Wapenzi wa Simba, huyu mama CEO kama tutakuwa naye tutalia sana

Hizi tabia zako na familia yako ndizo zinakufanya uwe na maneno machafu kama hayo.

Kama umefanywa na wajomba zako hivyo,na unaendelea kuwafanya watoto wa dada zako nakutahadharisha kuwa ubaya una mwisho wake na ipo siku utaumbuka.

Kinywa cha mtu hunena yaliyoujaza moyo wake.Hayo unayosema ndiyo yamekujaa kwenye akili yako na ni hakika wewe ni mtendwa na mtenda kwa wapwa zako
Kubali tu kuwa UMEPUYANGA

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Msimu ujao timu yako ya simba haitacheza mchezo wa Ngao ya Jamii. Maana haina sifa.

Watakaocheza huo mchezo ni Mabingwa wa Ligi kuu na ASFC msimu huu, Yanga! Dhidi ya mshindi wa pili wa ASFC, Coastal Union.

By the way, msimu ujao uitarajie timu yako ya simba kushika nafasi ya 3 au ya 4 huko! Azam fc ana uhakika wa 100% kushika nafasi ya 2, huku Wananchi wakiendelea kuwa mabingwa kwa mara nyingine tena.
Duh.....mkurupuko huu,UTAJUA HUJUI

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo siyo Barbara , timu haina mfumania nyavu wa uhakika unategemea Barbara akafunge mabao.

Wafanye usajili wa uhakika tu tupate matokeo huwezi sikia hizi songombingo ndogo ndogo toka sijui kwa nani..

Timu ilijisahau na ule ubingwa miaka 4 , sasa ni vizuri wafanye marekebisho tena ya uhakika kurudisha furaha Msimbazi.

Klabu ifanye maamuzi kuna wachezaji pale umri ushaenda , tunahitaji vijana wapambane uwanjani kuleta matokeo .

Furaha ya mpira ni magoli na ushindi, sasa kama tunasumbuliwa na Prison ,Polisi Tz sijui Mbeya City , Kagera Sugar , Mtibwa kuna kitu lazima benchi la ufundi likifanyie kazi.
 
Nimesikia interview ya Morrison nimesikitishwa sana hasa baada ya kusikia kuwa huenda huyu mwanamke ana chuki naye.

Lazima ifike mahali tuone hatari ya kiongozi kuleta chuki za kike.
Kama umewahi kuona kiongozi sehemu yoyote akiwa mwanamke,mara nyingi akiwa na msimamo hasi juu yako,huwa habadiliki.Na anaungwa mkono na wanaume wapumbavu.

Kwa club kubwa kama Simba,ni hatari sana kumwachia na kumwamini mtu kama huyu.Kama hakuna uwezekano wa kumuondoa,tuambieni tuachane na hii club tuhamie Azam.Maana kama tutakubali kiongozi analeta fitna kama za siasa kwa wachezaji,tena wenye vipaji,timu hii itapoteza kabisa umaarufu.

Kwa kitendo alichomfanyia Morrison,si kwamba kitamuathiri yeye pekee,kitabakiza mashaka mengi kwa wachezaji wengine,wataishi kwa hofu.
Na mimi nawaambia kwa hali hii,ipo siku club inaweza kushuka daraja.Wachezaji watacheza kinyonge na kutokuwa na morali.

Na niwahakikishie kama kutakuwa na mechi ya ngao ya hisani na huyu mwanamke yupo,safari hii Simba atachezea mvua ya magoli.
Nimegundua ni kwa nini wachezaji wanacheza bila morali.
Hawawezi kusema,lakini kwa machache aliyosema Morrison, kuna shida kubwa na huyu mama.
Una uhakika gani Morrison anasema ukweli? Umesikia maelezo ya upande wa pili?
 
Barbra yupo sana. Dogo nenda ukanye ulale ndicho akili yako inaweza na siyo football management
 
Hata ukimleta Messi pale Simba kwa sasa hakuna kitu.
Wachezaji hawana morali na sababu ni CEO.
Si ni huyu anachuki na Morrison na Chama?
Kwa nini anakubali kupoteza wachezaji kwa sababu ya hisia za kike tu?
 
Una uhakika gani Morrison anasema ukweli? Umesikia maelezo ya upande wa pili?
Upande wa pili upi?
Si ndio hao walitudanganya ameenda kushughulikia matatizo ya familia?
Je Chama yuko wapi?
 
Barbra yupo sana. Dogo nenda ukanye ulale ndicho akili yako inaweza na siyo football management
Yaani akili yako haiwezi kwenda juu kidogo ya kitovu?Imekaa kwenye kinyesi,sehemu za haja ndogo na kubwa uku ukichekelea kama nyani achekaye kundu za wenzie
 
Endelea kuharisha matusi tu wewe mwanaizaya mtoto wa malaya. Maana hata baba yako humjui
 
Nimesikia interview ya Morrison nimesikitishwa sana hasa baada ya kusikia kuwa huenda huyu mwanamke ana chuki naye.

Lazima ifike mahali tuone hatari ya kiongozi kuleta chuki za kike.
Kama umewahi kuona kiongozi sehemu yoyote akiwa mwanamke,mara nyingi akiwa na msimamo hasi juu yako,huwa habadiliki.Na anaungwa mkono na wanaume wapumbavu.

Kwa club kubwa kama Simba,ni hatari sana kumwachia na kumwamini mtu kama huyu.Kama hakuna uwezekano wa kumuondoa,tuambieni tuachane na hii club tuhamie Azam.Maana kama tutakubali kiongozi analeta fitna kama za siasa kwa wachezaji,tena wenye vipaji,timu hii itapoteza kabisa umaarufu.

Kwa kitendo alichomfanyia Morrison,si kwamba kitamuathiri yeye pekee,kitabakiza mashaka mengi kwa wachezaji wengine,wataishi kwa hofu.
Na mimi nawaambia kwa hali hii,ipo siku club inaweza kushuka daraja.Wachezaji watacheza kinyonge na kutokuwa na morali.

Na niwahakikishie kama kutakuwa na mechi ya ngao ya hisani na huyu mwanamke yupo,safari hii Simba atachezea mvua ya magoli.
Nimegundua ni kwa nini wachezaji wanacheza bila morali.
Hawawezi kusema,lakini kwa machache aliyosema Morrison, kuna shida kubwa na huyu mama.
Ungejua mambo aliyokuwa anafanya morisson kama ya kunywa pombe za malaki na kukataa kulipa bili, kukimbiza watu na chupa, bisibisi na urushi..usingekaa unamtetea. Kwanza amevumiliwa sana huyo
 
Kwahiyo unataka morrison afanye kila anachotaka yeye bila utaratibu? Leo akipewa hiyo release letter kesho akaenda FIFA amevunjiwa mkataba mtakuja tena hapa Simba viongozi hakuna sijui magumashi.
Nani ameongelea release letter?

Morrison afanye anachotaka kipi?
Au Chama alifanya anachotaka kipi?

Simba sio kikundi cha makasisi kwamba hawatakiwi kufanya dhambi,bali ni timu ya vijana ambao wana tabia tofauti.
Huwezi kuwa kiongozi kama utakuwa unahukumu bila kutumia busara.Morrison hawezi kuwa Mugalu,wala Mugalu hawezi kuwa Morrison.
 
Ungejua mambo aliyokuwa anafanya morisson kama ya kunywa pombe za malaki na kukataa kulipa bili, kukimbiza watu na chupa, bisibisi na urushi..usingekaa unamtetea. Kwanza amevumiliwa sana huyo
Huu ni uzushi tu.

Chama alimkibiza mtu na nini?
Acheni mambo hayo Simba sio shule ya seminari
 
Back
Top Bottom