Wapenzi wa Simba, huyu mama CEO kama tutakuwa naye tutalia sana

Wapenzi wa Simba, huyu mama CEO kama tutakuwa naye tutalia sana

Itasikitisha sana, endapo hizi taarifa zitakua na ukweli...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan ninapochoka huwa unapotema pumba km hizi? Hivi kanuni unazisoma kweli au ndo chupli chupli?

Km Yanga akishinda leo, Ngao ya jamii ni Simba vs Yanga. Ila akishinda Coastal union, ndo ngao itachezwa km leo.

Kuhusu hili la nafas ya 4 simba msimu ujao, tulizana kwan, utakuja ufurahishwee.
Idadi ya wajinga inaongezeka kwa kasi sana huko Yanga sijui wanakula maharage ya wapi hawa nyani
 
Ndio maana iliwaharibia mpaka udhamini mwenza kwa sababu wa "kike" wana nguvu kuliko wa " kiume". Ni mwanamke mmoja tu alisimama kuwaangusha wanaume wote wakiwemo wa Yanga na TFF kwenye suala la udhamini na mkaufyata.
Kombe vipi amewafanikishia mkalitwaa????

'Siba guvu moya" by da babra
 
Hakika huyu ni mwanamke wa shoka
Ndio maana iliwaharibia mpaka udhamini mwenza kwa sababu wa "kike" wana nguvu kuliko wa " kiume". Ni mwanamke mmoja tu alisimama kuwaangusha wanaume wote wakiwemo wa Yanga na TFF kwenye suala la udhamini na mkaufyata.
 
Nimesikia interview ya Morrison nimesikitishwa sana hasa baada ya kusikia kuwa huenda huyu mwanamke ana chuki naye.

Lazima ifike mahali tuone hatari ya kiongozi kuleta chuki za kike.
Kama umewahi kuona kiongozi sehemu yoyote akiwa mwanamke,mara nyingi akiwa na msimamo hasi juu yako,huwa habadiliki.Na anaungwa mkono na wanaume wapumbavu.

Kwa club kubwa kama Simba,ni hatari sana kumwachia na kumwamini mtu kama huyu.Kama hakuna uwezekano wa kumuondoa,tuambieni tuachane na hii club tuhamie Azam.Maana kama tutakubali kiongozi analeta fitna kama za siasa kwa wachezaji,tena wenye vipaji,timu hii itapoteza kabisa umaarufu.

Kwa kitendo alichomfanyia Morrison,si kwamba kitamuathiri yeye pekee,kitabakiza mashaka mengi kwa wachezaji wengine,wataishi kwa hofu.
Na mimi nawaambia kwa hali hii,ipo siku club inaweza kushuka daraja.Wachezaji watacheza kinyonge na kutokuwa na morali.

Na niwahakikishie kama kutakuwa na mechi ya ngao ya hisani na huyu mwanamke yupo,safari hii Simba atachezea mvua ya magoli.
Nimegundua ni kwa nini wachezaji wanacheza bila morali.
Hawawezi kusema,lakini kwa machache aliyosema Morrison, kuna shida kubwa na huyu mama.
........NIMESIKIA interview ya Morrison nimesikitishwa sana hasa baada ya KUSIKIA kuwa HUENDA huyu mwanamke ana chuki naye.

Hearsay unafungulia Uzi.
Ona ulivyo popoma; interview umesikia na wala hujasikiliza. Halafu eti baada ya KUSIKIA kuwa HUENDA (hapa huna uhakika). Kazi mnayo UTOPOLO. Acha umbeya mtoto wa kiume.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nani ameongelea release letter?

Morrison afanye anachotaka kipi?
Au Chama alifanya anachotaka kipi?

Simba sio kikundi cha makasisi kwamba hawatakiwi kufanya dhambi,bali ni timu ya vijana ambao wana tabia tofauti.
Huwezi kuwa kiongozi kama utakuwa unahukumu bila kutumia busara.Morrison hawezi kuwa Mugalu,wala Mugalu hawezi kuwa Morrison.
Naona unamkomalia sana Morrison, ulikuwa unapata % ngapi toka kwake? Naona siyo bure.

Unda timu ya kwako kamchukuwe umchezeshe huko.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan ninapochoka huwa unapotema pumba km hizi? Hivi kanuni unazisoma kweli au ndo chupli chupli?

Km Yanga akishinda leo, Ngao ya jamii ni Simba vs Yanga. Ila akishinda Coastal union, ndo ngao itachezwa km leo.

Kuhusu hili la nafas ya 4 simba msimu ujao, tulizana kwan, utakuja ufurahishwee.
Hasara tupu upande huo. Yaani hakuna anayejishughulisha kufuatilia kanuni. Wao wanachojua ni kufungua nyuzi na comments mbovu mbovu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hata ukimleta Messi pale Simba kwa sasa hakuna kitu.
Wachezaji hawana morali na sababu ni CEO.
Si ni huyu anachuki na Morrison na Chama?
Kwa nini anakubali kupoteza wachezaji kwa sababu ya hisia za kike tu?
Wangekuwa na morali wangefanya nini? .
 
Back
Top Bottom