Kubali tu kuwa UMEPUYANGAHizi tabia zako na familia yako ndizo zinakufanya uwe na maneno machafu kama hayo.
Kama umefanywa na wajomba zako hivyo,na unaendelea kuwafanya watoto wa dada zako nakutahadharisha kuwa ubaya una mwisho wake na ipo siku utaumbuka.
Kinywa cha mtu hunena yaliyoujaza moyo wake.Hayo unayosema ndiyo yamekujaa kwenye akili yako na ni hakika wewe ni mtendwa na mtenda kwa wapwa zako
Duh.....mkurupuko huu,UTAJUA HUJUIMsimu ujao timu yako ya simba haitacheza mchezo wa Ngao ya Jamii. Maana haina sifa.
Watakaocheza huo mchezo ni Mabingwa wa Ligi kuu na ASFC msimu huu, Yanga! Dhidi ya mshindi wa pili wa ASFC, Coastal Union.
By the way, msimu ujao uitarajie timu yako ya simba kushika nafasi ya 3 au ya 4 huko! Azam fc ana uhakika wa 100% kushika nafasi ya 2, huku Wananchi wakiendelea kuwa mabingwa kwa mara nyingine tena.
Umemaliza mkuuMwanaume acha kulalamika, ukitaka kuhama club hakuna haja ya kutangaza ni mapenz yako. Wew unaonekana nyuma yako kuna sura ya msukule. Tulia umezaliwa umeikuta Simba. Ndez
Amemaliza kukufanyia nini?Umemaliza mkuu
Punguza akili za kijinga wwAmemaliza kukufanyia nini?
Una uhakika gani Morrison anasema ukweli? Umesikia maelezo ya upande wa pili?Nimesikia interview ya Morrison nimesikitishwa sana hasa baada ya kusikia kuwa huenda huyu mwanamke ana chuki naye.
Lazima ifike mahali tuone hatari ya kiongozi kuleta chuki za kike.
Kama umewahi kuona kiongozi sehemu yoyote akiwa mwanamke,mara nyingi akiwa na msimamo hasi juu yako,huwa habadiliki.Na anaungwa mkono na wanaume wapumbavu.
Kwa club kubwa kama Simba,ni hatari sana kumwachia na kumwamini mtu kama huyu.Kama hakuna uwezekano wa kumuondoa,tuambieni tuachane na hii club tuhamie Azam.Maana kama tutakubali kiongozi analeta fitna kama za siasa kwa wachezaji,tena wenye vipaji,timu hii itapoteza kabisa umaarufu.
Kwa kitendo alichomfanyia Morrison,si kwamba kitamuathiri yeye pekee,kitabakiza mashaka mengi kwa wachezaji wengine,wataishi kwa hofu.
Na mimi nawaambia kwa hali hii,ipo siku club inaweza kushuka daraja.Wachezaji watacheza kinyonge na kutokuwa na morali.
Na niwahakikishie kama kutakuwa na mechi ya ngao ya hisani na huyu mwanamke yupo,safari hii Simba atachezea mvua ya magoli.
Nimegundua ni kwa nini wachezaji wanacheza bila morali.
Hawawezi kusema,lakini kwa machache aliyosema Morrison, kuna shida kubwa na huyu mama.
Barbra yupo sana. Dogo nenda ukanye ulale ndicho akili yako inaweza na siyo football managementNimesikia interview ya Morrison nimesikitishwa sana hasa baada ya kusikia kuwa huenda huyu mwanamke ana chuki naye.
Lazima ifike mahali tuone hatari ya kiongozi kuleta chuki za kike.
Kama umewahi kuona kiongozi sehemu yoyote akiwa mwanamke,mara nyingi akiwa na msimamo hasi juu yako,huwa habadiliki.Na anaungwa mkono na wanaume wapumbavu.
Kwa club kubwa kama Simba,ni hatari sana kumwachia na kumwamini mtu kama huyu.Kama hakuna uwezekano wa kumuondoa,tuambieni tuachane na hii club tuhamie Azam.Maana kama tutakubali kiongozi analeta fitna kama za siasa kwa wachezaji,tena wenye vipaji,timu hii itapoteza kabisa umaarufu.
Kwa kitendo alichomfanyia Morrison,si kwamba kitamuathiri yeye pekee,kitabakiza mashaka mengi kwa wachezaji wengine,wataishi kwa hofu.
Na mimi nawaambia kwa hali hii,ipo siku club inaweza kushuka daraja.Wachezaji watacheza kinyonge na kutokuwa na morali.
Na niwahakikishie kama kutakuwa na mechi ya ngao ya hisani na huyu mwanamke yupo,safari hii Simba atachezea mvua ya magoli.
Nimegundua ni kwa nini wachezaji wanacheza bila morali.
Hawawezi kusema,lakini kwa machache aliyosema Morrison, kuna shida kubwa na huyu mama.
Hata ukimleta Messi pale Simba kwa sasa hakuna kitu.Tatizo siyo Barbara , timu haina mfumania nyavu wa uhakika unategemea Barbara akafunge mabao.
Wafanye usajili wa uhakika tu tupate matokeo huwezi sikia hizi songombingo ndogo ndogo toka sijui kwa nani..
Timu ilijisahau na ule ubingwa miaka 4 , sasa ni vizuri wafanye marekebisho tena ya uhakika kurudisha furaha Msimbazi.
Klabu ifanye maamuzi kuna wachezaji pale umri ushaenda , tunahitaji vijana wapambane uwanjani kuleta matokeo .
Furaha ya mpira ni magoli na ushindi, sasa kama tunasumbuliwa na Prison ,Polisi Tz sijui Mbeya City , Kagera Sugar , Mtibwa kuna kitu lazima benchi la ufundi likifanyie kazi.
Upande wa pili upi?Una uhakika gani Morrison anasema ukweli? Umesikia maelezo ya upande wa pili?
Yaani akili yako haiwezi kwenda juu kidogo ya kitovu?Imekaa kwenye kinyesi,sehemu za haja ndogo na kubwa uku ukichekelea kama nyani achekaye kundu za wenzieBarbra yupo sana. Dogo nenda ukanye ulale ndicho akili yako inaweza na siyo football management
Huna unachojuwa wewe. Ulitaka Chama acheze wakati ana injuries?? Hebu tuachie Simba yetu Fanya yakoUpande wa pili upi?
Si ndio hao walitudanganya ameenda kushughulikia matatizo ya familia?
Je Chama yuko wapi?
Dawa ya moto ni moto.Chuma hunoa chumaPunguza akili za kijinga ww
Endelea kuharisha matusi tu wewe mwanaizaya mtoto wa malaya. Maana hata baba yako humjuiYaani akili yako haiwezi kwenda juu kidogo ya kitovu?Imekaa kwenye kinyesi,sehemu za haja ndogo na kubwa uku ukichekelea kama nyani achekaye kundu za wenzie
Ungejua mambo aliyokuwa anafanya morisson kama ya kunywa pombe za malaki na kukataa kulipa bili, kukimbiza watu na chupa, bisibisi na urushi..usingekaa unamtetea. Kwanza amevumiliwa sana huyoNimesikia interview ya Morrison nimesikitishwa sana hasa baada ya kusikia kuwa huenda huyu mwanamke ana chuki naye.
Lazima ifike mahali tuone hatari ya kiongozi kuleta chuki za kike.
Kama umewahi kuona kiongozi sehemu yoyote akiwa mwanamke,mara nyingi akiwa na msimamo hasi juu yako,huwa habadiliki.Na anaungwa mkono na wanaume wapumbavu.
Kwa club kubwa kama Simba,ni hatari sana kumwachia na kumwamini mtu kama huyu.Kama hakuna uwezekano wa kumuondoa,tuambieni tuachane na hii club tuhamie Azam.Maana kama tutakubali kiongozi analeta fitna kama za siasa kwa wachezaji,tena wenye vipaji,timu hii itapoteza kabisa umaarufu.
Kwa kitendo alichomfanyia Morrison,si kwamba kitamuathiri yeye pekee,kitabakiza mashaka mengi kwa wachezaji wengine,wataishi kwa hofu.
Na mimi nawaambia kwa hali hii,ipo siku club inaweza kushuka daraja.Wachezaji watacheza kinyonge na kutokuwa na morali.
Na niwahakikishie kama kutakuwa na mechi ya ngao ya hisani na huyu mwanamke yupo,safari hii Simba atachezea mvua ya magoli.
Nimegundua ni kwa nini wachezaji wanacheza bila morali.
Hawawezi kusema,lakini kwa machache aliyosema Morrison, kuna shida kubwa na huyu mama.
Nani ameongelea release letter?Kwahiyo unataka morrison afanye kila anachotaka yeye bila utaratibu? Leo akipewa hiyo release letter kesho akaenda FIFA amevunjiwa mkataba mtakuja tena hapa Simba viongozi hakuna sijui magumashi.
Huu ni uzushi tu.Ungejua mambo aliyokuwa anafanya morisson kama ya kunywa pombe za malaki na kukataa kulipa bili, kukimbiza watu na chupa, bisibisi na urushi..usingekaa unamtetea. Kwanza amevumiliwa sana huyo
Sawaa mkuu yaishie hapo ncje nikakosa la kujibu baadae maan mdomo wangu mchafu sanaaDawa ya moto ni moto.Chuma hunoa chuma
Usiutemee mate upepo kama una akili
Kama hujui tulia. Kama unampenda mchukueni kwenye timu yenu ya utopolo. Simba nidhamu kwanzaHuu ni uzushi tu.
Chama alimkibiza mtu na nini?
Acheni mambo hayo Simba sio shule ya seminari