Wapenzi wa soka tujifunze kuheshimu juhudi na uwekezaji wa vilabu vidogo, sasa hivi NBCPL sio lelemama. Muwe na adabu

Wapenzi wa soka tujifunze kuheshimu juhudi na uwekezaji wa vilabu vidogo, sasa hivi NBCPL sio lelemama. Muwe na adabu

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
4,701
Reaction score
11,920
Timu dhaifu za mikoani msimu huu ni zile zinazocheza kimazoea mfano Namungo, coastal na Kagera Sugar.

Timu kama
  • Mashujaa Fc
  • Pamba
  • Prison
  • Jkt
  • Singida black stars
  • Fountain gate
Tabora Fc

Hizi timu kwa sasa kwa observations zangu baada ya kucheza mechi kadhaa zimeingia kwenye mfuno mapema.

Yeyote akikutana hizi timu ajipange haswa.

Msimu uliopita zilikuwa zikipaki bus tu na kukuacha uzishambulie,

Sasa hivi hali ni tofauti, zinapaki bus zinafunguka kwa mipango na kushambulia kwa ustadi bila kumuogopa mpinzani

Hazibutui hovyo hovyo.

Azam, costal, Namungo kilichowakuta ni kuleta mazoea ya msimu uliopita hawakujua kuwa huu ni msimu mgumu.

Yanga anashinda kwa jasho, huku simba naye kaanza kushinda kwa taabu sana.

Mechi tano zijazo ya 4, 5, 6, 7 na 9 mtabaki mdomo wazi.

Kati ya simba au yanga kuna mmoja ataangusha point za kutosha.

Mtanielewa baadae.

Tujifunze kuheshimu timu ndogo ligi imekomaa hii hamna ushindi wa kirahisi rahisi tena msimu huu.

Mtanielewa baadae
 
Umeeleza vizuri na kimpira sana kwasasa kutokana na uwekezaji uliofanyika kwenye ligi yetu timu nyingi zimekua na nguvu za kiuchumi na hata kuweza kufanya sajili za wachezaji wazuri toka njee hebu fikiria timu kama pamba ina mchezaji kutoka Nigeria!
So kwasasa timu zina ushindani mkubwa na mabenchi bora ya ufundi jana mechi ya Azam na Mashujaa ilifikia kipindi wachezaji wa Azam wakapaniki baada ya kuona wameshikwa kila angle hii usingeiona kwa timu ndogo kwenye ligi yetu kipindi cha nyuma..
 
Haya sasa utabiri wangu umetimia wachambuzi wa jf mnasemaje
 
Kengold kamtwanga JKT ambaye naye si lelemama.

Kengold vs Yanga moja bila
Mechi iliyofuata akadroo
Baada ya haoo kashinda

Hapa unapata picha kuwa tayari washaanza kupata uzoefu

Huu msimu mgumu sana
 
Kengold kamtwanga JKT ambaye naye si lelemama.

Kengold vs Yanga moja bila
Mechi iliyofuata akadroo
Baada ya haoo kashinda

Hapa unapata picha kuwa tayari washaanza kupata uzoefu

Huu msimu mgumu sa
big improvement.

naona mechi ya preparation vs Yanga imelipa sana. wana kaza sana. Ken Gold na penalty kanyimwa.


jkt will be back. dodoma jiji wamoto sana, singida black stars ana zero loss.

azam ana chechemea. we wait. ligi iludi tena.
 
big improvement.

naona mechi ya preparation vs Yanga imelipa sana. wana kaza sana. Ken Gold na penalty kanyimwa.


jkt will be back. dodoma jiji wamoto sana, singida black stars ana zero loss.

azam ana chechemea. we wait. ligi iludi tena.
Ila haya magoli ya coastal hatari sii mchezo.
Simba abane mbupuz kweli dhidi ya yanga.
Kengold wamejipata sasa. Mambo yanakaa sawa.
Singida black stars wao wanabikiri watu tuu...pamba kabikiriwa na leo wamembikiri mashujaa
 
Utabiri wangu umetmia kwa asilimia mia moja
 
Back
Top Bottom