OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
- Thread starter
- #21
Mkuu tatizo wengi huwa mnamihemuko hamtulizi akiliYote hii ni baada ya kilabu cha bilion 20 kushona sare.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tatizo wengi huwa mnamihemuko hamtulizi akiliYote hii ni baada ya kilabu cha bilion 20 kushona sare.
Kuna nini mkuu?Mkuu tatizo wengi huwa mnamihemuko hamtulizi akili
Ni kama nimeelewa elewa hivi, ngoja nivute subira.Timu dhaifu za mikoani msimu huu ni zile zinazocheza kimazoea mfano Namungo, coastal na Kagera Sugar.
Timu kama
Tabora Fc
- Mashujaa Fc
- Pamba
- Prison
- Jkt
- Singida black stars
- Fountain gate
Hizi timu kwa sasa kwa observations zangu baada ya kucheza mechi kadhaa zimeingia kwenye mfuno mapema.
Yeyote akikutana hizi timu ajipange haswa.
Msimu uliopita zilikuwa zikipaki bus tu na kukuacha uzishambulie,
Sasa hivi hali ni tofauti, zinapaki bus zinafunguka kwa mipango na kushambulia kwa ustadi bila kumuogopa mpinzani
Hazibutui hovyo hovyo.
Azam, costal, Namungo kilichowakuta ni kuleta mazoea ya msimu uliopita hawakujua kuwa huu ni msimu mgumu.
Yanga anashinda kwa jasho, huku simba naye kaanza kushinda kwa taabu sana.
Mechi tano zijazo ya 4, 5, 6, 7 na 9 mtabaki mdomo wazi.
Kati ya simba au yanga kuna mmoja ataangusha point za kutosha.
Mtanielewa baadae.
Tujifunze kuheshimu timu ndogo ligi imekomaa hii hamna ushindi wa kirahisi rahisi tena msimu huu.
Mtanielewa baadae