Wapenzi wa suruali za jeans

Wapenzi wa suruali za jeans

sabuwanka

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2015
Posts
691
Reaction score
757
Wana jf salaam,
Miaka kadhaa iliyopita wavaaji wa jeans walionekana ni vijana wa kihuni ,lakini miaka ya karibuni vali hili limezijolea wavaaji wapya wenye heshima zao, licha ya kuwa kwa Tanzania ni vazi lisiloruhusiwa kwa watumishi wa serikali wakati wa saa za kazi..ingawa watumishi wa serikali wanaolipenda vazi hili hulivaa baada ya saa za kazi na weekends, kwangu mie nalipenda kwa sababu zifuatazo
1. Jeans halibagui kiatu kila kiatu linakikubali na lina kupendeza
2. Koti lolote ukilitupia juu ya jeans linakubali vyema
3.mifuko yake mirefu ni salama kuhifadhia pesa na simu bila usumbufu
4. Hata ukiwa mwili mkubwa ,mwili wa shukrani linakupendeza
5. Unaweza kuvaa jeans hata ukisahau kuvaa nguo za ndani ...linakusitiri
6.jeans hata kwa kanzu au dera linakutoa

Hebu na wewe ongezea uzuri wa vazi la Jeans katika kukumaridadisha
 
Napenda sana jeans na shati nachomekea.
Mimi sio mtu wa kukaa sana ofisini ni mtu wa field sana hivo nakuwa more comfortable nikitinga jeans.
Kwa field work jeans ni nzuri sana
 
Back
Top Bottom