YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Wapenzi wa timu ya Chelsea na Bilionea Tajiri wenu Roman Abromavich mnachangia mgogoro wa Ukraine bunge uingereza lataka mali za bilionea huyo zikamatwe na anyanganywe timu ya Chelsea kwa sababu yeye rafiki mkubwa wa Putin na ana uhusiano na biashara zake na Russia zinazotakiwa kuwa freezed za Russia na washirika wake bunge la uingereza jana wameongea
Wewe mpenzi wa Chelsea wachezaji wenu watakula kwa mama ntilie au waje kwetu Manchester United tuwape chakula.
Wewe mpenzi wa Chelsea wachezaji wenu watakula kwa mama ntilie au waje kwetu Manchester United tuwape chakula.