Pia Ikumbukwe Mr Roman Pia Ni Raia wa Israel na Kinachompa uhalali wa kuingia UK Ni Uraia wa Israel....Wapenzi wa timu ya Chelsea na Bilionea Tajiri wenu Roman Abromavich mnachangia mgogoro wa Ukraine bunge uingereza lataka mali za bilionea huyo zikamatwe na anyanganywe ...
Kwani Putin Alianza Kumfuatilia Mr Roman?Amesharudi na kufanya makazi yake ya kudumu Isarel toka 2018. Na ni raia wa Isarel pia, alifanya hivi baada ya Putin kuanza kumfuatilia
Yap- Ni historia ndefu kidogo, kwa kifupi Putin anamtuhumu Roman kuiibia Urusi wakati wa Gobachev akiwa rais. Na anataka Roman arudishe kiasi cha pesa alichopata wakati anamikiki mashirika ya Gas na mafuta Mr. Roman aliyoyanunua miaka ya 90 wakati Sovieti iliposambaratika Alalamikiwa kuyanunua hayo mashirika kifisadi na kujipatia pesa nyingi isivyo halaliKwani Putin Alianza Kumfuatilia Mr Roman?
Waingereza ndo walioanza kumfatilia kutokana na ukaribu wake na Putin .....hadi wakagoma kumpatia visa ndo akaamua kuchukua uraia wa Israel ila kwa sasa ana uraia wa Portugal mwanachama wa EUAmesharudi na kufanya makazi yake ya kudumu Isarel toka 2018. Na ni raia wa Isarel pia, alifanya hivi baada ya Putin kuanza kumfuatilia