Wapenzi wakukutana mitandaoni

Unapataga bahati mbaya wapo waliopata watu wema na wakafunga mpk ndoa na wako happy,maisha ya mahusiano yana tafsiri pana sana,km mtu mshenzi ni shenzi tu habadiliki pembe la ng'ombe halijifichi wapo waaminifu humu pia ujue!
 
Mapenzi hayana kanuni, nimekutana na mtu mwema humu sio mpenzi ila wema wake hata ambao nilikutana nao nje ya mitandao hawamfikii,, siwezi kumsahau kamwe,,
Exaclty my dear,nimekutana na watu wema humu nashukuru sanaa!wamekua ndugu zangu kiukweli nashukuru jf na msaada mkubwa sana!na naomba nisikutane na wa hovyo hovyo
 
Mtoa mada huko dunia gani?.

Mapenzi haijalishi mmekutana wapi, maana watu ni wale wale tabia zile zile, yule unaekutana nae instagram ndo yule uliekuwa nae kanisani.

Mataifa ya mbele asilimia kubwa wapenzi wamekutana mtandaoni.
 
Hongera wewe wema Ni wengi mi wa hovyo ni wengi ila huyo mwema mmoja anapunguza machungu ya hao hovyo,, na nadhani anatosha, abarikiwe sana natamani kumtag ila hapendi hizo mambo,
 
Mapenzi popote, wala haijalishi mtandaoni, kanisani au barabarani. Let's not complicate life jamani...
ni kweli popote ila nilichoandika ni mtandaoni tu
 
Mapenzi hayana kanuni, nimekutana na mtu mwema humu sio mpenzi ila wema wake hata ambao nilikutana nao nje ya mitandao hawamfikii,, siwezi kumsahau kamwe,,
anaweza akawa mwema ila wewe ukawa gadaff, kinamna flani huku hujijui.
 
Unapataga bahati mbaya wapo waliopata watu wema na wakafunga mpk ndoa na wako happy,maisha ya mahusiano yana tafsiri pana sana,km mtu mshenzi ni shenzi tu habadiliki pembe la ng'ombe halijifichi wapo waaminifu humu pia ujue!
kati ya mia mmoja ana auheni,

nasema auheni sio mzima.
 
Mtoa mada huko dunia gani?.

Mapenzi haijalishi mmekutana wapi, maana watu ni wale wale tabia zile zile, yule unaekutana nae instagram ndo yule uliekuwa nae kanisani.

Mataifa ya mbele asilimia kubwa wapenzi wamekutana mtandaoni.
nimebainisha vipengele baadhi couple hizo vitu wanavyopitia na hakuna sehemu nimeandika huwa wanaachana au mapenzi ya mtandaoni hamfikii ndoa n.k jitahidi usome vizuri bila kupanic
Exaclty my dear,nimekutana na watu wema humu nashukuru sanaa!wamekua ndugu zangu kiukweli nashukuru jf na msaada mkubwa sana!na naomba nisikutane na wa hovyo hovyo
 
Hii hatari ila ni ukweli mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…