Wapenzi wakukutana mitandaoni

Wapenzi wakukutana mitandaoni

Unapataga bahati mbaya wapo waliopata watu wema na wakafunga mpk ndoa na wako happy,maisha ya mahusiano yana tafsiri pana sana,km mtu mshenzi ni shenzi tu habadiliki pembe la ng'ombe halijifichi wapo waaminifu humu pia ujue!
 
Mapenzi hayana kanuni, nimekutana na mtu mwema humu sio mpenzi ila wema wake hata ambao nilikutana nao nje ya mitandao hawamfikii,, siwezi kumsahau kamwe,,
Exaclty my dear,nimekutana na watu wema humu nashukuru sanaa!wamekua ndugu zangu kiukweli nashukuru jf na msaada mkubwa sana!na naomba nisikutane na wa hovyo hovyo
 
View attachment 2132814hapa nazungumzia wale wanatongozeana kupitia mitandao ya kijamii,, maisha yao huwa hivi,,

1)baada ya kukubaliwa ombi mawasiliano huwa matamu sanaView attachment 2132815

2)baada ya kupeana mautamu kwa mara ya kwanzaView attachment 2132818

3)mlipo agana kila mtu kwake 【mikoa tofauti】kila mmoja atakuwa anakesha na simu kukufatilia kama umetoa siri ya mlivodate, au kuna mtu anakunyemelea hii unasahau hadi kumpigia simu kumjuilia hali huyo mpenzi wako wa mtandaoni.View attachment 2132823View attachment 21328244)ulipo gundua yupo online hadi usiku wa manane ila hakwambii ata gudnight unaamua kukesha kwenye chaji View attachment 2132825

5)ulipoona kama vile wewe ndo unalazimisha mapenzi ukaamua usikilize mziki kila ifikapo usikuView attachment 2132827

6)siku ziliposonga mwenza wako wa mtandaoni akakukumbuka safari hii akahitaji aje akae kwako kbsa ila ndoivo nae hajiamini kwa wapenzi alionaoView attachment 2132830

7)mkitoka nae matembezi anakuwa na wasiwasi wa kufumaniwa hivo matembezi na wewe hakuna labda lodgeView attachment 2132833

8) baada ya kutumiana sana nyuchi sasa wapenzi halisi nje ya mitandaoni wanaanza kusumbua View attachment 2132838

9) kwakuwa uliaga kwa mpenzi wako halisi kuwa upo kikazi somewhere, kabla hujaridi nyumbani kwa mpenzi wa mtandaoni unaamua uwasiliane kwanza na mpenzi halisi View attachment 2132842

10) baada ya kuchoshwa na utumwa hapa ndio visababu vya hapa na pale huibuka km vile mbona hatuzai watoto, mbona hunipeleki kwenu yote haya tu mmechokanaView attachment 2132844

la mwisho kabisa couple za mtandaoni haziwezi kukaa na kutatua changamoto zao pia haziwezi kukaa na kujadili mambo endelevu ya msingi. hii ni kwavile kila mmojawapo anajipa kiburi cha akikosa hiki wapo wengi fb ntawapata au akijishaua ntamchukua flani wa inst maisha yatasonga.

jumapili njema kwenu.

Mtoa mada huko dunia gani?.

Mapenzi haijalishi mmekutana wapi, maana watu ni wale wale tabia zile zile, yule unaekutana nae instagram ndo yule uliekuwa nae kanisani.

Mataifa ya mbele asilimia kubwa wapenzi wamekutana mtandaoni.
 
Hongera wewe wema Ni wengi mi wa hovyo ni wengi ila huyo mwema mmoja anapunguza machungu ya hao hovyo,, na nadhani anatosha, abarikiwe sana natamani kumtag ila hapendi hizo mambo,
 
Mapenzi popote, wala haijalishi mtandaoni, kanisani au barabarani. Let's not complicate life jamani...
ni kweli popote ila nilichoandika ni mtandaoni tu
 
Mapenzi hayana kanuni, nimekutana na mtu mwema humu sio mpenzi ila wema wake hata ambao nilikutana nao nje ya mitandao hawamfikii,, siwezi kumsahau kamwe,,
anaweza akawa mwema ila wewe ukawa gadaff, kinamna flani huku hujijui.
 
Unapataga bahati mbaya wapo waliopata watu wema na wakafunga mpk ndoa na wako happy,maisha ya mahusiano yana tafsiri pana sana,km mtu mshenzi ni shenzi tu habadiliki pembe la ng'ombe halijifichi wapo waaminifu humu pia ujue!
kati ya mia mmoja ana auheni,

nasema auheni sio mzima.
 
Mtoa mada huko dunia gani?.

Mapenzi haijalishi mmekutana wapi, maana watu ni wale wale tabia zile zile, yule unaekutana nae instagram ndo yule uliekuwa nae kanisani.

Mataifa ya mbele asilimia kubwa wapenzi wamekutana mtandaoni.
nimebainisha vipengele baadhi couple hizo vitu wanavyopitia na hakuna sehemu nimeandika huwa wanaachana au mapenzi ya mtandaoni hamfikii ndoa n.k jitahidi usome vizuri bila kupanic
Exaclty my dear,nimekutana na watu wema humu nashukuru sanaa!wamekua ndugu zangu kiukweli nashukuru jf na msaada mkubwa sana!na naomba nisikutane na wa hovyo hovyo
 
View attachment 2132814hapa nazungumzia wale wanatongozeana kupitia mitandao ya kijamii,, maisha yao huwa hivi,,

1)baada ya kukubaliwa ombi mawasiliano huwa matamu sanaView attachment 2132815

2)baada ya kupeana mautamu kwa mara ya kwanzaView attachment 2132818

3)mlipo agana kila mtu kwake 【mikoa tofauti】kila mmoja atakuwa anakesha na simu kukufatilia kama umetoa siri ya mlivodate, au kuna mtu anakunyemelea hii unasahau hadi kumpigia simu kumjuilia hali huyo mpenzi wako wa mtandaoni.View attachment 2132823View attachment 21328244)ulipo gundua yupo online hadi usiku wa manane ila hakwambii ata gudnight unaamua kukesha kwenye chaji View attachment 2132825

5)ulipoona kama vile wewe ndo unalazimisha mapenzi ukaamua usikilize mziki kila ifikapo usikuView attachment 2132827

6)siku ziliposonga mwenza wako wa mtandaoni akakukumbuka safari hii akahitaji aje akae kwako kbsa ila ndoivo nae hajiamini kwa wapenzi alionaoView attachment 2132830

7)mkitoka nae matembezi anakuwa na wasiwasi wa kufumaniwa hivo matembezi na wewe hakuna labda lodgeView attachment 2132833

8) baada ya kutumiana sana nyuchi sasa wapenzi halisi nje ya mitandaoni wanaanza kusumbua View attachment 2132838

9) kwakuwa uliaga kwa mpenzi wako halisi kuwa upo kikazi somewhere, kabla hujaridi nyumbani kwa mpenzi wa mtandaoni unaamua uwasiliane kwanza na mpenzi halisi View attachment 2132842

10) baada ya kuchoshwa na utumwa hapa ndio visababu vya hapa na pale huibuka km vile mbona hatuzai watoto, mbona hunipeleki kwenu yote haya tu mmechokanaView attachment 2132844

la mwisho kabisa couple za mtandaoni haziwezi kukaa na kutatua changamoto zao pia haziwezi kukaa na kujadili mambo endelevu ya msingi. hii ni kwavile kila mmojawapo anajipa kiburi cha akikosa hiki wapo wengi fb ntawapata au akijishaua ntamchukua flani wa inst maisha yatasonga.

jumapili njema kwenu.
Hii hatari ila ni ukweli mtupu
 
Back
Top Bottom