Wapenzi wakukutana mitandaoni

Kiongozi
Kama wewe ni kijana unayefuatilia Science and technological development; ujiweke tu tayari kuwa, kwenye miaka 15 hadi 20 hivi ijayo, kwenye asilia 90% ya ndoa zote zitakuwa through Internet/mitandao; ukubali usikubali ndio hivyo tena hatuna choice kama tulivyo pata simu za kiganjani na Intaneti sasa tunashindwa kukaa bila simu au intaneti.
Hivi unajua Simu za mkononi zilizoteka mawazo ya watu zimeanza mwaka 1973 lakini pia; hii internet iliyo haribu ulimwengu vichwa (pamoja na faida zake) imeanza rasmi mwaka 1983 (majuzi tu!)
TAHADHARI: sio kweli kuwa mke/mume mwema hupatikana Kanisani pekee au kwenye mabasi au sokoni nk?????
Kwenye mitandao kuna watu WENGI mchanganyiko wakiwemo WENGI wazuri sana; changamoto ni huku ulimwengu wa tatu tunadandia technologia kwa nyuma; hatuna exposure, mengi hasa ya mahusiano tunayofanya online ni FAKE; ila muda unavyokwenda tutaelimika...
Sio kwamba napenda iwe hivyo, ila hakuna namna ndio uhalisia. Dunia inakwenda kwa kasi saana na nivizuri ujiweke tayari ...
 
Mbona huwa hayafiki mbali hivo mkuu mengine yanaishiaga hapo namba mbili tu hata tunda hamjala
😄😄 nimeelezea hapo japo kuna wengine wanasema wameoana kbs nao wana dondoo zao.
 
Hongera wewe wema Ni wengi mi wa hovyo ni wengi ila huyo mwema mmoja anapunguza machungu ya hao hovyo,, na nadhani anatosha, abarikiwe sana natamani kumtag ila hapendi hizo mambo,
Ahsante dear,ktk wema na wabaya wapo ila dawa ni kuwaepuka tu!na wema hawapendi kujulikana kabisa!!!hawanaga show off!
 
kati ya mia mmoja ana auheni,

nasema auheni sio mzima.
[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ana ahueni japo ni kichaa!Mimi naona wazima wengi kuliko vichaa![emoji23][emoji23][emoji2]
 
umeeleza vizuri mkuu ijapo wengi wanachukulia ni njia za panya tena mbaya,,, kwa upande wangu hakuna kitu nimeelezea hivo ila tu nimeka wazi baina kuhusu couple za mtandaoni jinsi zilivyo.
 
Ah tena sie wazee wa badoo tinder na hi5 tunajiokotea warembo huko kwa raha zetu ila usirogwe eti uweke kambi....wee kula mbususu sepa zako
😄😄ikumbuke afya yako mkuu
 
umeeleza vizuri mkuu ijapo wengi wanachukulia ni njia za panya tena mbaya,,, kwa upande wangu hakuna kitu nimeelezea hivo ila tu nimeka wazi baina kuhusu couple za mtandaoni jinsi zilivyo.
nafikiri research yako umefanya Africa!
 
Wewe umeamua kufanya uzinzi alafu unawaza afya tena.....wee kula mbususu ufurahi. Hakuna faida ya kuzikwa na afya njema
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji28][emoji28]kaah
 
ni kweli popote ila nilichoandika ni mtandaoni tu
Mkuu, uzuri/ubaya ni kuwa hata wanaokutana sehemu zingine wanaumizana kama kawaida tu. Sioni kama ahueni ipo kwa wanaokutana sehemu zingine.

Mambo yanaenda kasi sana, wewe mwenyewe utotoni/ujanani hukuwa unatumia mda mwingi kuongea na watu usiowajua, leo hii unaweza kaa online for hours unachat na strangers(including jf strangers). Basi kama ni hivyo hata hizi virtual convos hapa tusizioe kipaumbele, twende vijiweni tupige soga huko.

Let's roll with time wakuu!
 
Uko sahihi sana !nimebond na watu humu mpk raha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…