Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KiongoziView attachment 2132814hapa nazungumzia wale wanatongozeana kupitia mitandao ya kijamii,, maisha yao huwa hivi,,
1)baada ya kukubaliwa ombi mawasiliano huwa matamu sanaView attachment 2132815
2)baada ya kupeana mautamu kwa mara ya kwanzaView attachment 2132818
3)mlipo agana kila mtu kwake 【mikoa tofauti】kila mmoja atakuwa anakesha na simu kukufatilia kama umetoa siri ya mlivodate, au kuna mtu anakunyemelea hii unasahau hadi kumpigia simu kumjuilia hali huyo mpenzi wako wa mtandaoni.View attachment 2132823View attachment 21328244)ulipo gundua yupo online hadi usiku wa manane ila hakwambii ata gudnight unaamua kukesha kwenye chaji View attachment 2132825
5)ulipoona kama vile wewe ndo unalazimisha mapenzi ukaamua usikilize mziki kila ifikapo usikuView attachment 2132827
6)siku ziliposonga mwenza wako wa mtandaoni akakukumbuka safari hii akahitaji aje akae kwako kbsa ila ndoivo nae hajiamini kwa wapenzi alionaoView attachment 2132830
7)mkitoka nae matembezi anakuwa na wasiwasi wa kufumaniwa hivo matembezi na wewe hakuna labda lodgeView attachment 2132833
8) baada ya kutumiana sana nyuchi sasa wapenzi halisi nje ya mitandaoni wanaanza kusumbua View attachment 2132838
9) kwakuwa uliaga kwa mpenzi wako halisi kuwa upo kikazi somewhere, kabla hujaridi nyumbani kwa mpenzi wa mtandaoni unaamua uwasiliane kwanza na mpenzi halisi View attachment 2132842
10) baada ya kuchoshwa na utumwa hapa ndio visababu vya hapa na pale huibuka km vile mbona hatuzai watoto, mbona hunipeleki kwenu yote haya tu mmechokanaView attachment 2132844
la mwisho kabisa couple za mtandaoni haziwezi kukaa na kutatua changamoto zao pia haziwezi kukaa na kujadili mambo endelevu ya msingi. hii ni kwavile kila mmojawapo anajipa kiburi cha akikosa hiki wapo wengi fb ntawapata au akijishaua ntamchukua flani wa inst maisha yatasonga.
jumapili njema kwenu.
Ahsante dear,ktk wema na wabaya wapo ila dawa ni kuwaepuka tu!na wema hawapendi kujulikana kabisa!!!hawanaga show off!Hongera wewe wema Ni wengi mi wa hovyo ni wengi ila huyo mwema mmoja anapunguza machungu ya hao hovyo,, na nadhani anatosha, abarikiwe sana natamani kumtag ila hapendi hizo mambo,
[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ana ahueni japo ni kichaa!Mimi naona wazima wengi kuliko vichaa![emoji23][emoji23][emoji2]kati ya mia mmoja ana auheni,
nasema auheni sio mzima.
Ah tena sie wazee wa badoo tinder na hi5 tunajiokotea warembo huko kwa raha zetu ila usirogwe eti uweke kambi....wee kula mbususu sepa zakoimepenya 😄
umeeleza vizuri mkuu ijapo wengi wanachukulia ni njia za panya tena mbaya,,, kwa upande wangu hakuna kitu nimeelezea hivo ila tu nimeka wazi baina kuhusu couple za mtandaoni jinsi zilivyo.Kiongozi
Kama wewe ni kijana unayefuatilia Science and technological development; ujiweke tu tayari kuwa, kwenye miaka 15 hadi 20 hivi ijayo, kwenye asilia 90% ya ndoa zote zitakuwa through Internet/mitandao; ukubali usikubali ndio hivyo tena hatuna choice kama tulivyo pata simu za kiganjani na Intaneti sasa tunashindwa kukaa bila simu au intaneti.
Hivi unajua Simu za mkononi zilizoteka mawazo ya watu zimeanza mwaka 1973 lakini pia; hii internet iliyo haribu ulimwengu vichwa (pamoja na faida zake) imeanza rasmi mwaka 1983 (majuzi tu!)
Sio kwamba napenda iwe hivyo, ila hakuna namna ndio uhalisia. Dunia inakwenda kwa kasi saana na nivizuri ujiweke tayari ...
Jinsi ya kuwaepuka ndo mtihani,, ila twende tu hivyo hivyo,Ahsante dear,ktk wema na wabaya wapo ila dawa ni kuwaepuka tu!na wema hawapendi kujulikana kabisa!!!hawanaga show off!
Wewe umeamua kufanya uzinzi alafu unawaza afya tena.....wee kula mbususu ufurahi. Hakuna faida ya kuzikwa na afya njema😄😄ikumbuke afya yako mkuu
nafikiri research yako umefanya Africa!umeeleza vizuri mkuu ijapo wengi wanachukulia ni njia za panya tena mbaya,,, kwa upande wangu hakuna kitu nimeelezea hivo ila tu nimeka wazi baina kuhusu couple za mtandaoni jinsi zilivyo.
Tunaishi nao tu,hakuna namnaJinsi ya kuwaepuka ndo mtihani,, ila twende tu hivyo hivyo,
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji28][emoji28]kaahWewe umeamua kufanya uzinzi alafu unawaza afya tena.....wee kula mbususu ufurahi. Hakuna faida ya kuzikwa na afya njema
Wee ndio utakuwa mla nauli za wanaume wa badoooMbona huwa hayafiki mbali hivo mkuu mengine yanaishiaga hapo namba mbili tu hata tunda hamjala
Eeh sasa raha ya kugegeda ule nyama to nyama...full utelezi. Kufa kupo tuu. Ila bora nife nikiwa nimekula tunda vizuri kabisa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji28][emoji28]kaah
Mkuu, uzuri/ubaya ni kuwa hata wanaokutana sehemu zingine wanaumizana kama kawaida tu. Sioni kama ahueni ipo kwa wanaokutana sehemu zingine.ni kweli popote ila nilichoandika ni mtandaoni tu
Uko sahihi sana !nimebond na watu humu mpk rahaMkuu, uzuri/ubaya ni kuwa hata wanaokutana sehemu zingine wanaumizana kama kawaida tu. Sioni kama ahueni ipo kwa wanaokutana sehemu zingine.
Mambo yanaenda kasi sana, wewe mwenyewe utotoni/ujanani hukuwa unatumia mda mwingi kuongea na watu usiowajua, leo hii unaweza kaa online for hours unachat na strangers(including jf strangers). Basi kama ni hivyo hata hizi virtual convos hapa tusizioe kipaumbele, twende vijiweni tupige soga huko.
Let's roll with time wakuu!