Wapenzi wangu wa zamani wameolewa lakini naendelea kuwatafuna kama kawaida

Wapenzi wangu wa zamani wameolewa lakini naendelea kuwatafuna kama kawaida

Mlolongo

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2019
Posts
3,483
Reaction score
6,257
Sijaona 'significant' difference kabla hawajaolewa na baada ya kuolewa. Naendelea kuwabinya kama kawa. Labda tofauti ndooogo iliopo ni vizinga. Sasa hivi hawanipigi mizinga ya kipumbavu. Si wanahudumiwa na waume zao bana? Sana sana huwa naingia gharama za nauli kuwavuta waje machinjioni.

Maana wanawake bana. Hata kama anataman apigwe mashine bado atajifanya hataki, mpaka uoneshe kweli na wewe unamuhitaji. Wapo watatu, walikuaga madem zangu kwa vipindi tofauti hapo nyuma. Sasa hivi wote wameolewa. Sema nitawazungumzia wawili kwa leo, Hidaya na Nasra. Huwa najiuliza nini hasa kinawafanya bado wanatoka nje ya ndoa zao.

Yaani mtu anafunga safari ya kilometer 35 kuja kupigwa mshedede halaf anarudi tena 35 zingine. Kweli sijapataga majibu ya uhakika. Nabaki kukisia tu.

Mfano Hidaya, mume wake kimaisha amenichapa gape, amenizidi. Yes. Mimi najua na Hidaya anajua hilo. Sasa mbona bado anaendelea kuniletea papa najichapia navotaka?

Nasra kusema kweli mume wake hajanizidi maisha kivile. Wala mimi sijamzidi. Ni kama tuko level moja tu. Sasa shida nini? Tena huyu Nasra aliniachaga kwa ugomvi kabisa, then fasta akatolewa mahari na mshikaji.

Sijui waume zao pengine wako 'bize' sana na utafutaji, kujenga familia? Kiasi kwamba muda wa kuwahudumia wake zao unakua mdogo. Sijui mie. Maana wakijaga kwangu hakunaga muda wa ku discuss maisha sijui kujijenga kimaisha. Kwangu ni 'ukuni' tu... Familia kajenge kwako na mumeo.

Watu: Mke wa mtu sumu jombaa. achana nao kabisa!

Mimi: Poaaa.

Watu: Karma is real, na wewe mkeo atakua anagongwa hovyo!

Mimi: Poaaa.

Wakati tunaumenya mwaka mpya 2021 nilikua nishaamua kabisa, rasmi naachana na wanawake nisiokua na future nao. Wakiwemo wao. Lengo nipate kutulia na mtoto mmoja nifunge nae ndoa. Aaaah, manzi wangu nae mara anivuruge, mara atulie. Shida ya nini... kupoza maganzi najikuta navunja miadi yangu. Basi naendelea kujipigia viporo vyangu hadi leo.

Sema piga ua garagaza, ikifika December 2021 naachana nao mazima. Maana wananifanya nisahau suala la kujenga familia yangu wakati wao wana zao.
 
Sasa hivi wahuni wakishapakua mambo yao, hatua ya pili ni kukufunga na kukuvuta kwenye ntuku. (unakuwa towed)
 
Sijaona 'significant' difference kabla hawajaolewa na baada ya kuolewa. Naendelea kuwabinya kama kawa.

Labda tofauti ndooogo iliopo ni vizinga. Sasa hivi hawanipigi mizinga ya kipumbavu... Si wanahudumiwa na waume zao bana...!!??
Sijakuelewa kama unalalamika au unatafuta sifa za kitoto hapa.
 
Ile perfyum vip ulijikaanga au ndo alikuboost now ni mwendo wa yeye kula mema?
 
Uzuri ni kwamba zinaa ni deni hili malipo yake hapa hapa duniani...!

Unapooona raha kuwapiga ukuni wake za watu basi naww utaoa mkeo atakuja kunjwa tu...

Tena anaweza kupigwa ukuni na mshikaj wako wa faida...hivyo hivyo unapofurahia kuwainamisha watoto,wadada wa wenzio jiandae malipo ya wanao wakike kuja kupigwa ukuni ndani ya nyumba uliyojenga mwenyewe
 
Back
Top Bottom