Wapenzi wangu wa zamani wameolewa lakini naendelea kuwatafuna kama kawaida

Kuna wale wanawake huingia kwenye ndoa sababu ya changamoto za maisha au msukumo wa wazazi, wakati yote hayo yanatokea unaweza kuta alikua kwenye mahusiano ambayo aliyafurahia kabla hajaingia kwenye ndoa, ndani ya ndoa atakutana na mikiki mingi na atamkumbuka musa au john kuwa bado yupo ambae alikua furaha yake unategemea nini,


Hakunaga kitu halisi kwenye ndoa labda watoto tu, wanamfatilia Jokajeusi wanaelewa vizuri
 


Mimi wataniona mnoko
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
First time nasoma nondo zako nlikwazika ila nikasema nijipe muda niiruhusu akili yangu ikuelewe na nikakuelewa, mwanzo nilikwazika sababu nilikujudge kwa kutumia hisia kama vile mtoto wa kike, later nilikuja kukujudge kwa kutumia akili.....


Dear Boys, dear Men
 
Hapo mwisho hapo wa bandiko ni muhimu kweli.
 


Gwara Gwara
 
Usipowagonga mabinti, inakua kinga ya mabinti zako kutogongwa?
 
Marehem alikuwa mgoni sana
 
Na wote yaliyowakuta makubwa walikua wanajiona wamba kama wewe,mpaka walipoingia 18 bila kujielewa.
 
Usipowagonga mabinti, inakua kinga ya mabinti zako kutogongwa?
Ni njia tunayotumia kujifariji. Kwamba anataka kusema hawa mabinti wote wanaogongwa huku mjini nao baba zao waligonga mabinti wa wenzao..?
 
Siku ukiliwa kiboga na ww uje uweke uzi hapa kuwa wake za watu ni sumu hata maziwa hayaoni ndani
 
Naaam huwa hivyo...! Ila kila unavyowainamisha wake za watu na watoto lazima uje ulipwe...! Wanavyoumia wazee kugongewa watoto wao lazima naww uje uumizwe hivyo hivyo....!..

.
Usipowagonga mabinti, inakua kinga ya mabinti zako kutogongwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…