Wapenzi washabiki na Wanachama wengi wa Simba kutoenda kwa Mkapa Jumamosi hii

Mimi siendi
 
The best result’s for the future kwa simba nikufungwa,wakishinda watabweteka and they won’t change much next season.
 
Kumbe wewe ni gambler, mimi naongelea mechi husika na sio kamari.
Soma tena comment yangu, mimi kuwaongelea gamblers haimaanishi kuwa ni mmoja wao ila nimeandika uhalisia tu, na hapa naongelea imani za watu kabla ya mechi na siyo namna mechi ilivyochezwa
 
Team yenyewe imekimbilia zanzibar, wanaweza hata wasije wale, haha
 
Soma tena comment yangu, mimi kuwaongelea gamblers haimaanishi kuwa ni mmoja wao ila nimeandika uhalisia tu, na hapa naongelea imani za watu kabla ya mechi na siyo namna mechi ilivyochezwa
Barca siwaamini sana, ile game ilikua open mkuu, yeyote angeweza kushinda.
Kumpa direct win au kutarajia barca kushinda 90% ni ushabiki huo aisee.
 
Ulikaa nao mkakubaliana au ni tetesi ulizojitungia tu?Maana utopolo mmerithi midomo kwa mzze yule mvaa barghashia.
 
Barca siwaamini sana, ile game ilikua open mkuu, yeyote angeweza kushinda.
Kumpa direct win au kutarajia barca kushinda 90% ni ushabiki huo aisee.
Ni wewe ndiye ambaye huwaamini mkuu, lakini barca wako vizuri kulinganisha na psg, watu wengi wanaojua mpira walijua wale wafaransa ndio basi tena
 
umesahau Moja mkuu', NGURUWE FC 🤣
 
Mimi natamani tu kujua mashabiki wa yanga wameipa timu gani ushindi huko kwenye mikeka, maana mimi huku kila shabiki wa yanga ninayemuambia tubet tumpe yanga ushindi, maana ni uhakika pesa lazima irudi na faida juu eti hataki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huo ndio ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…