Wapi alipo winga teleza Ramadhan Singano ""Messi""?

Wapi alipo winga teleza Ramadhan Singano ""Messi""?

Anaenisikitisha ni AME ALLY "ZUNGU", Kutoka MTIBWA to AZAM, to SIMBA na sasa KAGERA na huko na anasugua
Nafikiri wachezaji wetu wakifika kwenye hizi timu kubwa wana relax na kuona km wameshamaliza kila kitu hivyo hawajitumi tena.
 
Bado ni kijana mdogo sana, akipata watu wa kumjenga kisaikolojia vizuri dogo anaweza kurudisha makali yake tena.
Uzuri/ubaya wa saikolojia unataka utayari wa muhusika mwenyewe.
 
Uzuri/ubaya wa saikolojia unataka utayari wa muhusika mwenyewe.
Ni kweli kabisa mkuu ila ata yeye mwenyewe kwa hali aliyonayo sasa akitokea mtu wa kumu approach kwa lengo la kumsaidia ni imani yangu hawezi kukataa.
 
Back
Top Bottom