- Thread starter
- #21
uliweka bank gani?Niliangaika humu na 100m kutaka ushauri niiwekeze wapi risk free
Nikaishia kuiweka Fixed deposit Ac 8% kwa mwaka
Hapo nakula 660k kila mwezi
Lakini naona kama nawafaidisha sana wao aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uliweka bank gani?Niliangaika humu na 100m kutaka ushauri niiwekeze wapi risk free
Nikaishia kuiweka Fixed deposit Ac 8% kwa mwaka
Hapo nakula 660k kila mwezi
Lakini naona kama nawafaidisha sana wao aisee
Unauza kupitia brokers/ madalali wa soko la Hisa(DSE).Secondary market inakuwaje mkuu?
Hii ni nini?
Ukitaka kununua bonds za Bot inamaana hawa wa brokers wanaweza kukusaidia? Ushindani ukoje hasa kwa wenye mtaji mdogo let say milioni 5 ni rahisi kununua hizo bonds za BOT?Unauza kupitia brokers/ madalali wa soko la Hisa(DSE).
Ina maana hukupata ushauri wa kuweka BoT ? Kwa hiyo 100m ungeweka kwa miaka 20 au 25 ungekuwa unapata 1.3 kwa mwezi ambayo ingelipwa semi annually. Ila hiyo ilikuwa ni kabla hawajashusha rate kutoka 15.49 % hadi 12% from last three weeks ago.Niliangaika humu na 100m kutaka ushauri niiwekeze wapi risk free
Nikaishia kuiweka Fixed deposit Ac 8% kwa mwaka
Hapo nakula 660k kila mwezi
Lakini naona kama nawafaidisha sana wao aisee
Ningekushauri umtafute Dalali mmoja wa DSE akuelimshe kuhusu Hati Fungani hapa Tanzania.Ukitaka kununua bonds za Bot inamaana hawa wa brokers wanaweza kukusaidia? Ushindani ukoje hasa kwa wenye mtaji mdogo let say milioni 5 ni rahisi kununua hizo bonds za BOT?
Hata BOT wenyewe wanao watu wanaotoa elimu ya Hati Fungani.Ningekushauri umtafute Dalali mmoja wa DSE akuelimshe kuhusu Hati Fungani hapa Tanzania.
Masharti yao ya kuweka miaka mingi yalinishinda mkuuIna maana hukupata ushauri wa kuweka BoT ? Kwa hiyo 100m ungeweka kwa miaka 20 au 25 ungekuwa unapata 1.3 kwa mwezi ambayo ingelipwa semi annually. Ila hiyo ilikuwa ni kabla hawajashusha rate kutoka 15.49 % hadi 12% from last three weeks ago.
Sikushauri utumie hizi local bank kama nikiotumia mimi mkuu rate zao ndogo sanauliweka bank gani?
Sijakuelewa kabisa mkuu, tafadhali naomba uweke maelezo kidogo!Kaweke pesa zako BOT lala usingizi bila kushtuka shtuka! Kilichonikuta D9 sintakaa nisahau
Mkuu si wanasema utt amis...bond fund au liquid fund ni nzuri kuliko hizo fixed account offered by commercial banks...? Fuatilia upande huu...! Kwa 100m...unapata about 10m kwa mwaka.Niliangaika humu na 100m kutaka ushauri niiwekeze wapi risk free
Nikaishia kuiweka Fixed deposit Ac 8% kwa mwaka
Hapo nakula 660k kila mwezi
Lakini naona kama nawafaidisha sana wao aisee
Check Uzi ulifunguliwa na Vladimir LeninNiliangaika humu na 100m kutaka ushauri niiwekeze wapi risk free
Nikaishia kuiweka Fixed deposit Ac 8% kwa mwaka
Hapo nakula 660k kila mwezi
Lakini naona kama nawafaidisha sana wao aisee
Ni kweli kabisa.Mkuu si wanasema utt amis...bond fund au liquid fund ni nzuri kuliko hizo fixed account offered by commercial banks...? Fuatilia upande huu...! Kwa 100m...unapata about 10m kwa mwaka.
Laki 6+ kwa mwezi kwa kuwekeza mil. 100 ni fedha kidogo hasa ukitilia maanani sh ya Bongo inavyoanguka na vitu kupanda bei kila kukicha. Hapo mwaka mmoja umepata kwenye mil 8 hivi kwa makadirio. Biashara kichaa hii ila ni njia nzuri ya kuhifadhi fedha zako wakati unatafuta cha kufanya. Angalau baada ya mwaka uwe umeshapata cha kufanya.Sikushauri utumie hizi local bank kama nikiotumia mimi mkuu rate zao ndogo sana
Kama upo Dar tumia bank za kimataifa kama Barclays and the likes wana rate nzuri sana
Unajua D 9? nilipoteza shilingi milioni 4 plus. Tuache hilo. Kuhusu BOT Kuna aina mbili za kuwekeza pesa Moja ni security bonds (bond ya muda mfupi) na Treasury bonds (bonds za muda mrefu). Hii Treasury bonds ukiwekeza mfano kwa miaka 15 unapata riba ya zaidi ya asilimia 12. Na wanalipa mara mbili kwa mwaka. Yaani mwezi wa sita na wa 12. Utalipwa hiyo pesa kwa kipindi chote cha miaka 15. Hiyo miaka ikiisha principal ipo pale pale. Ni stress free.Sijakuelewa kabisa mkuu, tafadhali naomba uweke maelezo kidogo!
Mkuu,Unajua D 9? nilipoteza shilingi milioni 4 plus. Tuache hilo. Kuhusu BOT Kuna aina mbili za kuwekeza pesa Moja ni security bonds (bond ya muda mfupi) na Treasury bonds (bonds za muda mrefu). Hii Treasury bonds ukiwekeza mfano kwa miaka 15 unapata riba ya zaidi ya asilimia 12. Na wanalipa mara mbili kwa mwaka. Yaani mwezi wa sita na wa 12. Utalipwa hiyo pesa kwa kipindi chote cha miaka 15. Hiyo miaka ikiisha principal ipo pale pale. Ni stress free.
hao UTT AMIS wanakusanya ela za watu, wanaenda kununua bonds BOT.Kwenye Bonds sasa hivi wameshusha rates hivyo uwekezaji wake unaweza ukawa sawa na UTT AMIS kwenye Bond Fund. Kama UTT nao hawatashusha rates basi uwekazaji mzuri ni kupitia wao kwasababu kutakuwa na flexibilities. Unaweza kutoa hela yako muda wowote unlike BOT ambapo unaifungia kwa kipindi cha miaka 5, 10, 15, 20 na 25 na ulitaka kuuza kabla ya hapo ni through secondary market. Kwenye secondary market huuzi tu ni mpaka mteja apatikane.