Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Ha! Ha! Ha! Ha! Walokole wa siku hizi ni hatari. Mtu anaanzisha "huduma" ana begi tu, baada ya miaka miwili tayari anamiliki "Hummer" huku waumini wake wakimiliki maji ama mafuta toka kwa "mtumishi"Mlokole Shigongo?
Yule alipigwa na SCAMERS tu hauwezi kutuma $100 ili ukomboe $100milHivi baada ya kuwatumia jamaa zile dola 100 ameshaongea chochote kuhusu mustakabali wa hela zake?
Ha ha ha ha ha ha watumishi wa siku hizi ni balaa badala ya kuenda kuhubiri injili huko vijijini nawashangaa wanajazana tu mjini tu hasa hapo darHa! Ha! Ha! Ha! Walokole wa siku hizi ni hatari. Mtu anaanzisha "huduma" ana begi tu, baada ya miaka miwili tayari anamiliki "Hummer" huku waumini wake wakimiliki maji ama mafuta toka kwa "mtumishi"
Siku moja niliona "mtumishi" mmoja akigawa sabuni Kanisani kwake ili watakaoogea watoke nuksi ya umaskini!!
Hiyo inaitwa "Expansion Joint".Yule alipigwa na SCAMERS tu hauwezi kutuma $100 ili ukomboe $100mil
majina yao ndiyo hatari. Zamani walikuwa wanakimbilia kujiita "Askofu". Sasa siku hizi kuna "Ngurumo ya upako" "Mzee wa upako" "rungu la bwana" na mengine ambayo ukiyasikia unajiuliza jee Yesu Kristo Mwenyewe angekuwepo zama hizi angejiitaje!Ila huyo aliyetoa sabuni atakuwa mganga sio bure
Yule ni ccm damudamu ndugu labda useme mmemtafutia jimbo au sizonje kaishiwa pumzi atampisha jamaaAmetulia kidogo anasubiri 2020 apate kuwa mgombea rasmi wa urais Kwa niaba ya ukawa
Duhh.!!! Aliingiaje huko...alifanyaje!??Yule mzee ni mpuuzi sana.
Aliharibu taswira yake ghafla baada ya kujiingiza kwenye kampeni za kisiasa tena za kuisifia CCM. Hapo ndipo wabongo walipomtema ghafla. CCM ni laana na nuksi kubwa. Yule mzee ndio kajichimbia kaburi, hawezi kuibuka tena.
Nadhani shida sio kukosekana wanunuzi watu wanaogopa kuulizwa umetoa wapi hela.Na nyumba zilizomtoa hazijauzwa bado?