Wapi dr Luis Shika na kiki zake?

Wapi dr Luis Shika na kiki zake?

Mlokole Shigongo?
Ha! Ha! Ha! Ha! Walokole wa siku hizi ni hatari. Mtu anaanzisha "huduma" ana begi tu, baada ya miaka miwili tayari anamiliki "Hummer" huku waumini wake wakimiliki maji ama mafuta toka kwa "mtumishi"

Siku moja niliona "mtumishi" mmoja akigawa sabuni Kanisani kwake ili waumini wake wakaogee watoke nuksi ya umaskini!!
 
Ha! Ha! Ha! Ha! Walokole wa siku hizi ni hatari. Mtu anaanzisha "huduma" ana begi tu, baada ya miaka miwili tayari anamiliki "Hummer" huku waumini wake wakimiliki maji ama mafuta toka kwa "mtumishi"

Siku moja niliona "mtumishi" mmoja akigawa sabuni Kanisani kwake ili watakaoogea watoke nuksi ya umaskini!!
Ha ha ha ha ha ha watumishi wa siku hizi ni balaa badala ya kuenda kuhubiri injili huko vijijini nawashangaa wanajazana tu mjini tu hasa hapo dar
Ila huyo aliyetoa sabuni atakuwa mganga sio bure
 
Ila huyo aliyetoa sabuni atakuwa mganga sio bure
majina yao ndiyo hatari. Zamani walikuwa wanakimbilia kujiita "Askofu". Sasa siku hizi kuna "Ngurumo ya upako" "Mzee wa upako" "rungu la bwana" na mengine ambayo ukiyasikia unajiuliza jee Yesu Kristo Mwenyewe angekuwepo zama hizi angejiitaje!
 
Ametulia kidogo anasubiri 2020 apate kuwa mgombea rasmi wa urais Kwa niaba ya ukawa
 
Ametulia kidogo anasubiri 2020 apate kuwa mgombea rasmi wa urais Kwa niaba ya ukawa
Yule ni ccm damudamu ndugu labda useme mmemtafutia jimbo au sizonje kaishiwa pumzi atampisha jamaa
 
Yule mzee ni mpuuzi sana.
Aliharibu taswira yake ghafla baada ya kujiingiza kwenye kampeni za kisiasa tena za kuisifia CCM. Hapo ndipo wabongo walipomtema ghafla. CCM ni laana na nuksi kubwa. Yule mzee ndio kajichimbia kaburi, hawezi kuibuka tena.
Duhh.!!! Aliingiaje huko...alifanyaje!??
 
Back
Top Bottom