Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Ha! Ha! Ha! Ha! Walokole wa siku hizi ni hatari. Mtu anaanzisha "huduma" ana begi tu, baada ya miaka miwili tayari anamiliki "Hummer" huku waumini wake wakimiliki maji ama mafuta toka kwa "mtumishi"Mlokole Shigongo?
Siku moja niliona "mtumishi" mmoja akigawa sabuni Kanisani kwake ili waumini wake wakaogee watoke nuksi ya umaskini!!