sajo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,474
- 6,195
Kimsingi wewe ndio una TV kali, inayochuja mwanga vizuri na kuonewha picha ambayo haitaharibu macho yako. Hizi TV nyingi za wachina zina picha inayong'aa mno ambayo unaweza ukaona kama ndio nzuri sana ila inaumiza macho yako pasipo kujuaSijui sana mambo ya TV, lakini kuna jamaa yangu ana Hisense 55" na mimi nna LG 50". Cha ajabu nikienda kwa jamaa nikiangalia dstv au mfano movie, nikiichukua movie hivyo hiyo nikija nayo kwangu naona tofauti kubwa sana katika ung'avu na ubora wa picha!! Mpaka naanza kutamani na mimi nikamate hii brand aisee.