Wapi hapa Dar napata Smart TV bora kabisa?

Kimsingi wewe ndio una TV kali, inayochuja mwanga vizuri na kuonewha picha ambayo haitaharibu macho yako. Hizi TV nyingi za wachina zina picha inayong'aa mno ambayo unaweza ukaona kama ndio nzuri sana ila inaumiza macho yako pasipo kujua
 
Kweli bhana LG ni TV nzuri, mimi nilichukua moja nchi 49 kariakoo kwa mwarabu kwa 1.4ml. mwaka wa tano sasa inapiga mzigo na display quality. Ukiangalia channel za HD za mpira za Dstv ni kama upo wembley.......kuna jamaa walitaka kunipa TCL smart kwa 1.3ml. nikaipiga chini, ilikuwa na display inayong'aa kiajabu ajabu, sijajuta kuichukua hii LG ingawa siyo smart.
 
Hakuna tofauti kati ya smart TV na Android TV. Ni hivi: Kuna stmart TV za brand tofauti zinazotumia OP system za aina mbalimbali na aina mojawapo ni Android. Hivyo inaitwa smart TV ya Android.
 
Kimsingi wewe ndio una TV kali, inayochuja mwanga vizuri na kuonewha picha ambayo haitaharibu macho yako. Hizi TV nyingi za wachina zina picha inayong'aa mno ambayo unaweza ukaona kama ndio nzuri sana ila inaumiza macho yako pasipo kujua
Hata mimi nashangaa jamaa anaona LG haifikii hiyo ya mchina! Au labda brand yake ni zamani sana au ni fake.
 
Wachina TV zao zinang'aa mno, ukiwa hujui sana hizi mambo unaweza ona TV yako (ya brand inayoeleweka) kama mbaya hivi.
 
Wakuu hata mm nipo kwenye harakati za kununua TV nahitaji 55" natoa kuanzia 2.5m tv iwe ya kisasa
 
Hata mimi nashangaa jamaa anaona LG haifikii hiyo ya mchina! Au labda brand yake ni zamani sana au ni fake.
LG kuna lile toleo lao la 2016 kama sio 2017 43 inch baadya ya mwaka linatengeneza bluish hivi kama backgroup
Uki google utaona
 
Ninayo LG pia ya aina yako mwaka wa 4 saizi..... sijawahi kuona ujinga ujinga wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…