Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe ni mgeni wa jiji la Amos, nenda Mlimani city Game utapata achana na Kariakoo utauziwa jina, badala ya kununua Sony utanunua Sonny, badala ya kununua iPhone utanunua Iphone.Natafuta smart TV nchi 44, kubwa zaidi au karibia na hiyo. Napata wapi hapa mjini Dar hasa maeneo ya Kariakoo?
Je, ni brand ipi bora kwa sasa? Bei yake ikoje?
Sasa kama mkazi wa Kwamparange Buza atajuaje mitaa ya jijini?Mpka tv unatafuta connection Jf?
[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa kama mkazi wa Kwamparange Buza atajuaje mitaa ya jijini?
Unataka Sumsung au Samsung sababu hizo zote zinaweza zikawepo..., yaani kwa wachina hata ukitaka TensorFlow...Wanauzaje Sumsung?
Hisense nimeiona duka moja Kariakoo inauzwa mil 1.2. Maana yake kwa m 1 inachukulika. Halafu ujue kuwa hizi TV zina series zake ambazo zinatofautiana. Lakini nahitaji sumsung, kuna moja hivi: 55" Class TU850D 4K Crystal UHD HDR Smart TV 2020 TVs - UN55TU850DFXZA | Samsung US, nchi 55, magic remote, zingatia series na specifications zingine. Kuna sehemu jamaa alinigusia 2 M+.TensorFlow Mimi nimeagiza Hisense 55 inch, Zanzibar kwa bei ya 1 m. na usafirishaji imenigharimu kama elfu 60.
Hizi TV zingine sizijui wala kuzielewa kabisa zaidi ya Sumsung au Sony.Chukua TCL smart 55' bei yake nadhani inacheza kwenye 1.3M
Hapo kwa TCL hata hao wanakaa chini halafu siyo brand ya kimchezo mchezoHizi TV zingine sizijui wala kuzielewa kabisa zaidi ya Sumsung au Sony.
Hisense 49 inches smart 1,250,000
TCL, SAMSUNG, LG, HISENSE
Sijui sana mambo ya TV, lakini kuna jamaa yangu ana Hisense 55" na mimi nna LG 50". Cha ajabu nikienda kwa jamaa nikiangalia dstv au mfano movie, nikiichukua movie hivyo hiyo nikija nayo kwangu naona tofauti kubwa sana katika ung'avu na ubora wa picha!! Mpaka naanza kutamani na mimi nikamate hii brand aisee.Achukue Hisense, hatojuta!
Nenda posta mpya karibu na mnara wa askari pembeni yake kuna jengo la bank nadhani ni tpb Bank jengo hilo hilo kuna duka la Samsung hapo utakuta vitu vyote original vya Samsung ni duka lao wenyewe SamsungNatafuta smart TV nchi 44, kubwa zaidi au karibia na hiyo. Napata wapi hapa mjini Dar hasa maeneo ya Kariakoo?
Je, ni brand ipi bora kwa sasa? Bei yake ikoje?
“Achana na Dar zama zenji “Achana na dar zama zenji kutana na @Abdulwahid
Dat Zenj nadhan siku moja hiyohoyo
“Achana na Dar zama zenji “
WHY THE HELL ???? una duka huko Zanzibar ?
yani TV itakosekana kwenye soko la watu milioni 58 ikapatikane kwenye kisiwa cha kuzunguka na baiskeli asubuhi mpaka saa nne ?
give me break...