Hidaya kama unapitia humu mwambie jamaa uko wapi.
Yuko hapa Kaloleni Arusha. Amejizeekea ila bado anajipenda. Tuliwahi kwenda nyumbani kwake na shost angu ayelikuwa anatafuta nyumba ya kuishi ndo tukapelekwa hapo kwake na hakusita kujitambulisha kuwa yeye ndio hidaya pepe kale.
Hidaya kaolewa siku hizi ana watoto watatu wote wa kiume na bado anadai ile mbaya.
Huu wimbo ukiusikia angani basi lazima ujisikiesikie kushuka kwa dancing floor.
....
.....njoo huku kunajambo limetokea !!!
R.I.P #hidaya
RIP Hidaya...last time alipita mtaani kwetu 2007 nikaoneshwa na bro wangu alikuwa bonge la jimama, na nilipenda alivyokuwa anasalimia kila mtu.
ulikuwa na Umri gani Kipindi hicho?
Anapatikana maeneo ya kaloleni Jirani na bar ya rift valley kwa Kira.
Itakuwa sio kweliHizi Habari za kusema Hidaya Amefariki bila maelezo yeyote ni ujuha,unataka kuniambia shigongo limempita hili? Ebu Jazia Nyama,Hidaya kafariki Lini? Alikuwa anaumwa nini? mafia Dar au Arusha?