Wapi Hidaya wa Pepe Kalle?

Wapi Hidaya wa Pepe Kalle?

Hidaya kama unapitia humu mwambie jamaa uko wapi.

Mkuu pepe kale ni Marehemu siku nyingi sana kama ndio unamuambia Maneno hayo Hidaya umenoa labda aende kwenye kabuli lake... nilisikia kabuli la Pepe kale lilikuwa ni Kubwa Sana na si wajua umbe la jitu lile lilivyokua! Kama Giant
 
Yuko hapa Kaloleni Arusha. Amejizeekea ila bado anajipenda. Tuliwahi kwenda nyumbani kwake na shost angu ayelikuwa anatafuta nyumba ya kuishi ndo tukapelekwa hapo kwake na hakusita kujitambulisha kuwa yeye ndio hidaya pepe kale.

....

.....njoo huku kunajambo limetokea !!!
 
Hidaya kaolewa siku hizi ana watoto watatu wote wa kiume na bado anadai ile mbaya.
Huu wimbo ukiusikia angani basi lazima ujisikiesikie kushuka kwa dancing floor.



....

.....Mkuu habari za siku
 
Last edited by a moderator:
Nasikia alizaa naye huyo mdada yupo Arusha karibu na Guest ya Rift Valley mitaa ya Makao Mapya ni karibu kabisa na jamaa mfuga wanyama pori.
 
Hidaya kwa sasa anaishi Dar, wala hana watoto wengine wa kiume, yupo na bint mmoja tu aliemzaa kabla ya kuwa na pepe kale, huyu binti ana mtoto wa kiume, Hidaya ana mjukuu wa kiume.
 
RIP Hidaya...last time alipita mtaani kwetu 2007 nikaoneshwa na bro wangu alikuwa bonge la jimama, na nilipenda alivyokuwa anasalimia kila mtu.
 
Tupieni picha ya HIDAYA WA PEKPE KALLLE TUMWONE ALIKUAJE MPAKA AKAMVUTIA HIVYO PEPE KALLE
 
Hizi Habari za kusema Hidaya Amefariki bila maelezo yeyote ni ujuha,unataka kuniambia shigongo limempita hili? Ebu Jazia Nyama,Hidaya kafariki Lini? Alikuwa anaumwa nini? mafia Dar au Arusha?
Itakuwa sio kweli
 
Back
Top Bottom