Harunahoba
Member
- Oct 15, 2019
- 32
- 46
- Thread starter
- #21
youngpo hakuwahi kutamani ufalme hapo kabla kwasababu alijua utaratibu ni kaka yange ndie alietakiwa kuridhi ufalme hivyo toka mdogo hakuwai kujiandaa kua mfalme aliinjoi kupiga pesa na madem hivyo sio kwamba ni mjinga japo ukilinganisha na akili ya jumong na taeso youngpo hakuwa na akili kuliko hao wawil ila ni sababu ya makuzi yakeJe Youngpo ni mjinga?