Wapi Kibra aka mkali wao aka Nature aka king of TMK

Wapi Kibra aka mkali wao aka Nature aka king of TMK

Winnie227

Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
86
Reaction score
41
Kama umekulia miaka ya 90s na ulipenda bongo flava from late 90s basi bila ubishi either ulicopy album ya ugali or ulinunua album ya ugali.Huyu jamaa alikuwa ni kiboko ilikuwa kila siku uki tune radio lazima Utasikia nyimbo za juma nature. .na pia Kwa walio bahatika kukutana na nature hau kichill naye watakwambia jamaa alikuwa so simple na mtu wa watu kama vile sio superstar.

Nikicheck hawa watoto wa Bongoflavour wana dharau mpaka fans wao na wengine mpaka kukataa kupiga picha na fans eti utasikia nimechoka or sina mood..wengine wakitoa hits 3 hau nje basi wanajiona kama michael Jackson..I wish wasanii wange kuwa wana fuata maadili mazuri na kuheshimu fans kama alivyokuwa Juma Nature.
 
kuna ngoma yake inaitwa mzee wa busara...katambaa vibaya mle ndani..inspecta ndo balaa kwenye verse ya kwanza..nimeisiliza hiyo na ile naja ya squizer ni hatari..naja ya squizer yupo kwenye chorus na verse moja ni hatari mbaya
 
Hatari sana...
 
Hatari sana,jamaaa noma sana...Kibra anaweza
 
Bhana baafrica banauliza Nini chanzooooo
enzi hizo ulikuwa ukisikiliza Bongoflava ikuwa na ladha yake kabisa sio siku hizi mara ooh baby uiku sinzii....watoto waliozaliwa miaka ya 90' wameharibu muziki wetu
 
ImageUploadedByJamiiForums1411649253.433335.jpg
Kirobotooooo....!au muite the ever green Mcee wanakuja wanamkuta na wanaondoka jamaa bado yupo uyu ndio pekee ake nimewahi kununu albamu zake zote na nimeudhuria uzinduzi wa albamu zake kuanzia poolside mpaka pale Jubilee ni zaidi ya mtu wa watu.
 
Ilikuwa mwanzoni mwa miaka ya 2000. Siyo late 90's. Kibra alitisha. Enzo hizo yeye na sinta kama Dhahabu na huruma vilr
 
Nlikua nasikiliza ngoma za zamani..aise zilikua zimesimama mno..
 
Namkubali sana lakini hadi leo namlaumu suala la kuondoka kwa fella...angekua mbali sana

Fella unaemzungumzia ni zaidi ya mnyonyaji labda unamuangalia kwa mbali ni bora Juma aliondoka naamini kua angekua pale angepata promo sana ila mifuko empty chaka la dhiki kibandidu
 
Kila zama na kitabu chake,,diamond ndio habari ya mjini. Huyu ----- kama hakupiga hela enzi zile anatoa singo mwaka mzima inahit basi ana damu ya kunguni.
 
Mwezi uliopita aliiachia ngoma inaitwa "komaa", amesimama fresh sana humo ndani.
 
View attachment 188105
Kirobotooooo....!au muite the ever green Mcee wanakuja wanamkuta na wanaondoka jamaa bado yupo uyu ndio pekee ake nimewahi kununu albamu zake zote na nimeudhuria uzinduzi wa albamu zake kuanzia poolside mpaka pale Jubilee ni zaidi ya mtu wa watu.

albam zake ninazo..huyu jamaa huwezi kujutia kununua albam zake.
 
Nature ni balaa yan zipo kichwan mweeeeee mmenikumbusha mbali kukremu nyimbo za huyu jamaa kibla ni shida sijui nisemeje mweeeeee asa jana kuna swaiba kanirushia wimbo aloimba na joslin >>>>> huyu demu simwelewii daaaa kanikumbusha mbali jaman
 
Back
Top Bottom