Kama umekulia miaka ya 90s na ulipenda bongo flava from late 90s basi bila ubishi either ulicopy album ya ugali or ulinunua album ya ugali.Huyu jamaa alikuwa ni kiboko ilikuwa kila siku uki tune radio lazima Utasikia nyimbo za juma nature. .na pia Kwa walio bahatika kukutana na nature hau kichill naye watakwambia jamaa alikuwa so simple na mtu wa watu kama vile sio superstar.
Nikicheck hawa watoto wa Bongoflavour wana dharau mpaka fans wao na wengine mpaka kukataa kupiga picha na fans eti utasikia nimechoka or sina mood..wengine wakitoa hits 3 hau nje basi wanajiona kama michael Jackson..I wish wasanii wange kuwa wana fuata maadili mazuri na kuheshimu fans kama alivyokuwa Juma Nature.