Uchaguzi 2020 Wapi kimbunga cha Bernard Membe jamani?

Troll JF

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
7,804
Reaction score
12,237
Hivi karibuni tuliambiwa kuwa kutakuwa na Kimbunga cha Bernard Membe. Kiko wapi? Je aliwalaghai wananchi mbona hata hajatoa taarifa za Kukacha Kampeni?

Je, ulaghai kama huu wananchi watauvumilia kweli na Kumpa kura tarehe 28?
 
9EFECA29-9757-4172-88AD-8B9A7CAC80B1.jpeg
Hii picha ya masoud inafikirisha
 
Hivi karibuni tuliambiwa kuwa kutakuwa na Kimbunga cha Bernard Membe. Kiko wapi? Je aliwalaghai wananchi mbona hata hajatoa taarifa za Kukacha Kampeni?

Je, ulaghai kama huu wananchi watauvumilia kweli na Kumpa kura tarehe 28?
Membe atachaguliwa kwa kishindo Sept 28.
 
Hivi karibuni tuliambiwa kuwa kutakuwa na Kimbunga cha Bernard Membe. Kiko wapi? Je aliwalaghai wananchi mbona hata hajatoa taarifa za Kukacha Kampeni?

Je, ulaghai kama huu wananchi watauvumilia kweli na Kumpa kura tarehe 28?
Membe ni mwana CCM na mwana siasa wa hovyo kutokea ever
 
Bado anaandaa Baraza la mawaziri..wizara ya afya Na kilimo vinampa wakati mgumu
 
Hivi karibuni tuliambiwa kuwa kutakuwa na Kimbunga cha Bernard Membe. Kiko wapi? Je aliwalaghai wananchi mbona hata hajatoa taarifa za Kukacha Kampeni?

Je, ulaghai kama huu wananchi watauvumilia kweli na Kumpa kura tarehe 28?
Kimbunga cha Membe na kile cha Magu vote vimemezwa na BOONGE LA KIMBUNGA cha T.A. LISSU

Inchi nzima navuma kwa upepo wake ni banana ama hakika kimbunga cha LISSU ni mvumo wa mabadiliko ya kweli
 
Ilikuwa ni mbinu ya kuwapiga chenga ccm na tume thus wakachukua wote fomu ili ccm waamini kwamba upinzani awatoungana lkn wamepigwa chenga la tobo ACT visiwani CDM bara
This is gudi gudi......

Kinachonishangaza na kunisikitisha ni kwa nn tume inachukia vyama vikiungana/kushirikiana....... Yaani wanachukia kuliko hata mashetani ccm
 
Membe asingechukua fomu CCM wangefanya zengwe na Mahere wao kada mtiifu kumfuta Lissu , upinzani ungekuwa umeishia hapo. Membe kafanya kazi kubwa, uwepo wake umefanikisha kiasi kikubwa tume kumpitisha wakiamini wakiwa wote Membe na Lissu ' Kura zitagawanyika'.
 
Kweli kabisa! Na wangemkata Lissu kwenye hatua ile hasira ya umma ingekuwa ndogo sana bado! Kwa sumu aliyokwisha kuimwaga Lissu kwa sasa wamesha chelewa sana! Wakifanya figisu figisu vibaya hawataweza kuuzuia umma wenye hasira kali kutokana na nyongo kubwa waliyokwisha kupandishiwa ikitokana na maumivu ya miaka 5 - hakika kipele kimepata mkunaji!!!!
 
CCM bana, mtu akiamua kukaa kimya hamtaki, akiogea ukweli oohh anamsema Rais - sasa kwenu jema ni lipi? Membe kaamua kukaa kimya kwa sasa!!
 
This is gudi gudi......

Kinachonishangaza na kunisikitisha ni kwa nn tume inachukia vyama vikiungana/kushirikiana....... Yaani wanachukia kuliko hata mashetani ccm
Sababu walishapanga mshindi wao Sasa hiki kimbunga Cha nyomi kimewavuruga kabisa watz watahoji
 
Back
Top Bottom