mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Chagueni kiongozi bora ambae hata akipigwa risasi hafi
ila akipigwa bomu la machozi anapanick[emoji28][emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chagueni kiongozi bora ambae hata akipigwa risasi hafi
Kama ni mazuri vile.ila akipigwa bomu la machozi anapanick[emoji28][emoji28]
Yupo. Jana tu nimebahatika kusikia nasaha zake kwenye Tv. Unajua nini? Membe yeye ana kitu kimoja tu rohoni, ni mgombea urais wa JMT tu basi, hana kingine cha ziada ya hicho, na ndiyo maana anaonekana wakati mwingine kama hayupo. Membe yupo and is there stayHabarini wana jamvi takribani muda umepita bila kusikia habari za mgombea urais kupitia tiketi ya Act wazalendo kachero mbobezi Bernard kamillius Membe je huyu mtu yuko wapi na anafanya nini kwa Sasa?
[emoji111][emoji109]Membe asingechukua fomu CCM wangefanya zengwe na Mahere wao kada mtiifu kumfuta Lissu , upinzani ungekuwa umeishia hapo. Membe kafanya kazi kubwa, uwepo wake umefanikisha kiasi kikubwa tume kumpitisha wakiamini wakiwa wote Membe na Lissu ' Kura zitagawanyika'.
Kwani Chadema waliwahi kukili kuwa waliingia cha kike au huo ni mtazamo wako?Membe jamanii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jamaa alidhani chadema na mwakaa huu wataingia cha kikeee
Mkuu hii ni augustMembe atachaguliwa kwa kishindo Sept 28.
Bernard Membe anazidiwa kampeni hata na mgombea UdiwaniHivi karibuni tuliambiwa kuwa kutakuwa na Kimbunga cha Bernard Membe. Kiko wapi? Je aliwalaghai wananchi mbona hata hajatoa taarifa za Kukacha Kampeni?
Je, ulaghai kama huu wananchi watauvumilia kweli na Kumpa kura tarehe 28?
Hahaha....mihimili yote imepanic na vyombo vya dola vimepanic piaSababu walishapanga mshindi wao Sasa hiki kimbunga Cha nyomi kimewavuruga kabisa watz watahoji
Seriously, Bernard Membe yuko wapi?
Bado anagombea?