Uchaguzi 2020 Wapi kimbunga cha Bernard Membe jamani?

Uchaguzi 2020 Wapi kimbunga cha Bernard Membe jamani?

Membe anamuunga mkono Tundu Lissu. Ndiyo maana hataki kuzunguuka nchi ili kugawa kura.

Membe ni hero, hataki kuumiza upinzani!
Kuna wanasiasa hapa nchini ni wajinga!

Wakiona sifa kutoka kwa watu wawili watatu mitandaoni basi wanajiona wanaweza kuwa rais ndani ya wiki tu!

Mimi najiuliza hivi Membe kukaa kote na JK hajui kama tz ni zaidi ya twitter, jf na facebook?
 
..C'mon Ngabu!!

..What you are doing here is equal to punching an opponent whose corner has thrown in a towel.

..C'MON MAN!!
Hahahaaa I know.

But at least they should make it official.

Bado anagombea au hagombei?

Halafu natabiri atarudi tu CCM....you watch this space.

Sasa hivi kawa irrelevant hadi anatia huruma.
 
Hivi ndo kusema huyu ‘jasusi mbobezi’ keshaacha kugombea urais?

Kuna taarifa rasmi labda iliyotolewa kuhusu yeye kutokuwa mgombea tena ambayo labda mimi sikuiona?....
Ahahahaaa alijazwa sifa na Chadema akajua atatoboa,kumbe kimbunga kimembeba mwenyewe.
 
Hivi ndo kusema huyu ‘jasusi mbobezi’ keshaacha kugombea urais?

Kuna taarifa rasmi labda iliyotolewa kuhusu yeye kutokuwa mgombea tena ambayo labda mimi sikuiona?

Manake yuko kimya sana.

Alitangaza mwenyewe kuhusu kimbunga cha ACT na kwamba hakizuiliki.

Au hicho kimbunga kimeishia kumsomba yeye mwenyewe?

Huyu mtu bado anagombea au hagombei?

Halafu yuko wapi?



[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kachero Mbobezi Bernard Kamilius Membe[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Hata huyo mgombea Wa Vibendera wa Tanzania Chadema Ni Kumjaza tu upepo. Kwa Magufuli hatapata hata 20% Utaona tu.
Izo 20% ndo atapata magufuli
 
Back
Top Bottom