Uchaguzi 2020 Wapi kimbunga cha Bernard Membe jamani?

The most disorganised upinzani ever.
CCM inashinda kwa mara nyingine.
Vyama vya upinzani vijipange upya kwa ajili ya uchaguzi wa 2025.
Ahaa unachekesha

Fanya kazi angalia maisha yako

Membe hana undugu na wewe,Akiwa kiongozi alipeleka watoto wake ulaya

Wewe
 
Hivi ndo kusema huyu ‘jasusi mbobezi’ keshaacha kugombea urais?

Kuna taarifa rasmi labda iliyotolewa kuhusu yeye kutokuwa mgombea tena ambayo labda mimi sikuiona?

Manake yuko kimya sana.

Alitangaza mwenyewe kuhusu kimbunga cha ACT na kwamba hakizuiliki.

Au hicho kimbunga kimeishia kumsomba yeye mwenyewe?

Huyu mtu bado anagombea au hagombei?

Halafu yuko wapi?

Anasubiri siku ya kufunga kampeni ila zitto Mungu anamuona
 
Kuna wajinga wachache walimjaza upepo, hasahasa wafuasi wa chadema, walimuaminisha kuwa yeye ni kiboko wa magufuli. Akaingia mzimamzima
 
Seriously, Bernard Membe yuko wapi? Bado anagombea?
Umeshachunguza fedha za Tl za kampeni zinatoka wapi?
Kuna wajinga wachache walimjaza upepo, hasahasa wafuasi wa chadema, walimuaminisha kuwa yeye ni kiboko wa magufuli. Akaingia mzimamzima
Hivi kweli unaamini alienda ACT kuutafuta uraisi?

Kuna kikundi cha chama chako lengo lao ni kuhakikisha mwenyekiti anakwama alichokipanga.

By the way Nani anampa pesa za kampeni Tl? Nani anamlinda humu nchini? Au unaamini ni Robert na USA?
 
Hivi ndo kusema huyu ‘jasusi mbobezi’ keshaacha kugombea urais?

Kuna taarifa rasmi labda iliyotolewa kuhusu yeye kutokuwa mgombea tena ambayo labda mimi sikuiona?

Manake yuko kimya sana.

Alitangaza mwenyewe kuhusu kimbunga cha ACT na kwamba hakizuiliki.

Au hicho kimbunga kimeishia kumsomba yeye mwenyewe?

Huyu mtu bado anagombea au hagombei?

Halafu yuko wapi?

Walifunga A/C zake wakafunga A/C za kila mtu wanayeona anawasiliana na membe hasa akiwa ni mfanyabiashara au mtu yeyote mwenye kipato na hata alipojaribu kwenda Dubai kuchukua pesa wakampora zote na wasaidizi wake kuwekwa ndani wakachezea kichapo kujua kama wana siri yeyote ya pesa zake , kwa kifupi membe hana Pesa za kufanya kampeni kabanwa mbavu vibaya sana.
 
Hata huyo mgombea Wa Vibendera wa Tanzania Chadema Ni Kumjaza tu upepo. Kwa Magufuli hatapata hata 20% Utaona tu.
Izo 20% ndo atapata magufuli
CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sana
 
Hata huyo mgombea Wa Vibendera wa Tanzania Chadema Ni Kumjaza tu upepo. Kwa Magufuli hatapata hata 20% Utaona tu.
Kinachoongelewa kingine wewe unaleta kingine ,anatongozwa mwingine wewe ushavua bikini
 
Umeshachunguza fedha za Tl za kampeni zinatoka wapi?

Hivi kweli unaamini alienda ACT kuutafuta uraisi?

Kuna kikundi cha chama chako lengo lao ni kuhakikisha mwenyekiti anakwama alichokipanga.

By the way Nani anampa pesa za kampeni Tl? Nani anamlinda humu nchini? Au unaamini ni Robert na USA?
Chadema wana ruzuku kubwa wana Akiba nyingi kuliko vyama vingine hata umati wa mikutano yote huchangia pia ni vigumu chadema wafeli kufanya kampeni
 
Kinachoongelewa kingine wewe unaleta kingine ,anatongozwa mwingine wewe ushavua bikini
Usipate shida kumjibu mwambie kuwa CCM bila wizi wa kura bila uchakachuaji hawana kitu ni weupe sana, hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu anaichagua CCM
 
Hivi ndo kusema huyu ‘jasusi mbobezi’ keshaacha kugombea urais?

Kuna taarifa rasmi labda iliyotolewa kuhusu yeye kutokuwa mgombea tena ambayo labda mimi sikuiona?

Manake yuko kimya sana.

Alitangaza mwenyewe kuhusu kimbunga cha ACT na kwamba hakizuiliki.

Au hicho kimbunga kimeishia kumsomba yeye mwenyewe?

Huyu mtu bado anagombea au hagombei?

Halafu yuko wapi?

Hahaha!,you made my day
 
Back
Top Bottom