pale Millenium Towers kuna jamaa anaitwa Coy Mzungu, anakua na some other comedians, unaweza pitia insta account ya CHEKA TU utapata updates za show zao zote au ukawacheki youtube kwa jina la CHEKA TU.Habari
Nimekuwa nikifuatilia sana Churchill Show ya Kenya ambayo kiukweli huwa napunguza sana stress hasa akisimama Professor Hamo.
Sasa nipo Dar hapa najiuliza ni wapi kumbi za Comedy ambazo ni Stand up comedy ili nikashuhudie nipunguze stress. Kama zipo show huwa siku gani katika wiki. Asanteni.
sijajua jina mkuu ila kuchekesha hawajuiUkumbi unaitwaje na lini?
Mkuu nakuunga mkono kwa bongo sijaona stand up comedy kama mpoki sasa sijui kwann hatumii hii fursaaa,mpoki angekuwa anafanya stand up comedy sawa
ila wengine wananipa tabu kunichekesha
bora hata kumsikiliza jiwe unaweza ukacheka ila sio hawa stand up comedy
Haaa zile huwa anafanya kusudi ila mkuu jamaa anajua mi nafuatlia sana kaz zake kama anapotumiwa kwenye haflaMadongo yake kwa watu sometime anaboa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kila ijumaa ya mwisho ya mwezi pale LAPF millenium towers huwa kuna stand up comedy, the next show ni tarehe 28 September