Wapi Kumbi za Comedy Dar es Salaam

Wapi Kumbi za Comedy Dar es Salaam

SaaMbovu

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2013
Posts
6,027
Reaction score
5,344
Habari
Nimekuwa nikifuatilia sana Churchill Show ya Kenya ambayo kiukweli huwa napunguza sana stress hasa akisimama Professor Hamo.
Sasa nipo Dar hapa najiuliza ni wapi kumbi za Comedy ambazo ni Stand up comedy ili nikashuhudie nipunguze stress. Kama zipo show huwa siku gani katika wiki. Asanteni.
 
pale Millenium Towers kuna jamaa anaitwa Coy Mzungu, anakua na some other comedians, unaweza pitia insta account ya CHEKA TU utapata updates za show zao zote au ukawacheki youtube kwa jina la CHEKA TU.
 
Asante
 
leo ukumbi wa comedy ulikuwa mpakani mwa simiyu na singida katika ufunguzi wa daraja. chungulia kesho utajua ukumbi uko wapi
 
Kila ijumaa ya mwisho ya mwezi pale LAPF millenium towers huwa kuna stand up comedy, the next show ni tarehe 28 September
 
mpoki angekuwa anafanya stand up comedy sawa
ila wengine wananipa tabu kunichekesha
bora hata kumsikiliza jiwe unaweza ukacheka ila sio hawa stand up comedy
Mkuu nakuunga mkono kwa bongo sijaona stand up comedy kama mpoki sasa sijui kwann hatumii hii fursaaa,
 
Back
Top Bottom