Wapi kuna mashamba ya sh 150,000/= mkoani Njombe

Biha
Unachosema ni kweli kabisa. watu huwa wanapandisha sana bei. kuna jamaa yangu aliambiwa apeleke milioni 80 apewe heka 1000
Biharamulo kuna la ekari 1000 linalouzwa milioni 300. Sijaliona, ila nimeambiwa ni shamba pori lenye hatimiliki, lilikuwa linamilikiwa na kikundi fulani lakini wameamua kuliuza baada ya kushindwa kuliendeleza.
 
hapo unazungumzia laki 3 kwa heka
 
Tafadhali sana naomba unitumie namba yako ya wasafi haraka ,mimi nataka kuanza kulima msimu huu huu haraka kabla watu hawajaanza kupanda nataka nianze na mahindi na maharage pamoja.,vile vile nijaribu mihogo. bila kusahau viazi ulaya.
 
Kuna mtu anahitaji nyumba ya kununua iwe na vyumba vinne vya kulala, sitting room, dining room choo na bafu, je inaweza kupatikana kwa bei gani Njombe au Makambako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…