Wapi kuna mashamba ya sh 150,000/= mkoani Njombe

Wapi kuna mashamba ya sh 150,000/= mkoani Njombe

Biha
Unachosema ni kweli kabisa. watu huwa wanapandisha sana bei. kuna jamaa yangu aliambiwa apeleke milioni 80 apewe heka 1000
Biharamulo kuna la ekari 1000 linalouzwa milioni 300. Sijaliona, ila nimeambiwa ni shamba pori lenye hatimiliki, lilikuwa linamilikiwa na kikundi fulani lakini wameamua kuliuza baada ya kushindwa kuliendeleza.
 
hapo unazungumzia laki 3 kwa heka
 
Labda niwape background ya haya mashamba, kule nyuma kidogo tulinunua na kuanzisha misitu ya miti ya mbao, moto ukatulamba, wengi wamekata tamaa na kuamua kuyauza. Kuna eka 50 karibu mashamba 8 hivi, eka 100 kuna mapande 2, kuna eka 600 za pamoja, 40, Chini ya eka 50 kule ni ngumu kupata. Kwa hiyo ukisema nataka eka 50 nakuunganisha na mwenyewe sasa hivi. Zipo 159 hazina barabara.

Zenye hati za kimila tayari bei ni 250,000/, zipo 212, 50, 284, 150, 100,
Tafadhali sana naomba unitumie namba yako ya wasafi haraka ,mimi nataka kuanza kulima msimu huu huu haraka kabla watu hawajaanza kupanda nataka nianze na mahindi na maharage pamoja.,vile vile nijaribu mihogo. bila kusahau viazi ulaya.
 
1000008468.jpg
 
Kuna mtu anahitaji nyumba ya kununua iwe na vyumba vinne vya kulala, sitting room, dining room choo na bafu, je inaweza kupatikana kwa bei gani Njombe au Makambako
 
Back
Top Bottom