GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
- Thread starter
- #101
Biha
Biharamulo kuna la ekari 1000 linalouzwa milioni 300. Sijaliona, ila nimeambiwa ni shamba pori lenye hatimiliki, lilikuwa linamilikiwa na kikundi fulani lakini wameamua kuliuza baada ya kushindwa kuliendeleza.Unachosema ni kweli kabisa. watu huwa wanapandisha sana bei. kuna jamaa yangu aliambiwa apeleke milioni 80 apewe heka 1000