Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viwanda vya biaZao la muhogo limekua likikua sana katika sehem mbalimbali za nchi ya Tanzania. Kuna mwenye uwelewa wa wapi wanapatikana wanunuzi wa unga wa muhogo?
Unga wa muhugo unapatikana kwa wingi Tanga, Lindi na Mtwara. Vile vile kwa mikoa ya Shinyanga na Mara.Zao la muhogo limekua likikua sana katika sehem mbalimbali za nchi ya Tanzania. Kuna mwenye uwelewa wa wapi wanapatikana wanunuzi wa unga wa muhogo?
Ukienda Kigoma Warundi na Waganda na Warwanda wanaisomba sana, Wa Rwanda nasikia wanapeleka hadi Gaboni, Waganda wanachukua wana process wana peleka Sudani Kusini.Zao la muhogo limekua likikua sana katika sehem mbalimbali za nchi ya Tanzania. Kuna mwenye uwelewa wa wapi wanapatikana wanunuzi wa unga wa muhogo?
Process ya kupata unga kwa ajili hivyo tajwa hapo ni tofauti mkuu, Ule wa kusongea ugali ni tofauti ki process na ule wa kuuza viwandaniViwanda vya bia
Viwanda vya madawa
Viwanda vya biskuti
Ila hakikisha una ubora wa kimataifa
Bado una taka??Mimi nahitaji ule unga wa muhogo ambao non food grade nahitaji tani nyingi.