Wapi kuna soko la unga wa mihogo

Wapi kuna soko la unga wa mihogo

XhosaVica

Senior Member
Joined
Sep 29, 2020
Posts
157
Reaction score
155
Zao la muhogo limekua likikua sana katika sehem mbalimbali za nchi ya Tanzania. Kuna mwenye uwelewa wa wapi wanapatikana wanunuzi wa unga wa muhogo?
 
Zao la muhogo limekua likikua sana katika sehem mbalimbali za nchi ya Tanzania. Kuna mwenye uwelewa wa wapi wanapatikana wanunuzi wa unga wa muhogo?
Viwanda vya bia
Viwanda vya madawa
Viwanda vya biskuti
Ila hakikisha una ubora wa kimataifa
 
Zao la muhogo limekua likikua sana katika sehem mbalimbali za nchi ya Tanzania. Kuna mwenye uwelewa wa wapi wanapatikana wanunuzi wa unga wa muhogo?
Unga wa muhugo unapatikana kwa wingi Tanga, Lindi na Mtwara. Vile vile kwa mikoa ya Shinyanga na Mara.
 
Zao la muhogo limekua likikua sana katika sehem mbalimbali za nchi ya Tanzania. Kuna mwenye uwelewa wa wapi wanapatikana wanunuzi wa unga wa muhogo?
Ukienda Kigoma Warundi na Waganda na Warwanda wanaisomba sana, Wa Rwanda nasikia wanapeleka hadi Gaboni, Waganda wanachukua wana process wana peleka Sudani Kusini.

Kwa Bongo sana ni kama Chakula ingawa labda kwa kanda ya Ziwa ndo inaliwa sana,
 
Kwa wale wauzaji na wanunuzi wa mazao hasa kutoka mikoa ya nyanda za juu kusini yenye gharama kubwa ya chakula Sasa unaweza pata nafaka za aina mbalimbali, chakula cha mifugo pia nafaka mbalimbali kwa bei halisi ya mkoani

Unachotakiwa kufanya ni kuwasiliana na nasi katika group letu huwa tunapakia na kusafirisha hadi mkoa ulipo kwa bei ya mkoani na nafuu zaidi

Vyakula unavyoweza pata
1. Pumba za mahindi
2. Pumba za mpunga laini kwaajili ya nguruwe
3. Mashudu
4. Uduvi
5. Chakula cha kuchanganywa
6. Na vyakula vingine kwa order ya mteja husika kama uduvi, mahindi, chenga za dagaa, nk

Mimi nahitaji ule unga wa muhogo ambao non food grade nahitaji tani nyingi.
 
Viwanda vya bia
Viwanda vya madawa
Viwanda vya biskuti
Ila hakikisha una ubora wa kimataifa
Process ya kupata unga kwa ajili hivyo tajwa hapo ni tofauti mkuu, Ule wa kusongea ugali ni tofauti ki process na ule wa kuuza viwandani
 
Back
Top Bottom