Wapi Majina ya waliochaguliwa Kidato cha Kwanza 2015?

MKURABITA

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
317
Reaction score
126
Nimesoma taarifa kwenye magazeti ya leo kuwa Naibu Waziri TAMISEMI Mh. Kassim Majaliwa ametangaza matokeo ya waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza shule za Serikali kwa mwaka 2015. Nimejaribu kutafuta majina katika websites mbalimbali sijafanikiwa kuyapata. Je, ni wapi naweza kupata majina hayo ili nijue kama mwanangu kapangiwa shule?
 
Na kwa nini TAMISEMI ndo itangaze na siyo Wizara ya Elimu?
 
Yanabandikwa kwenye office za maafisa elimu secondary ktk halimashauri za wilaya

Asante kwa taarifa. Je, majina yanayobandikwa huko ni ya wanafunzi wote hata waliochaguliwa kwenda nje ya Wilaya/Mkoa huo, au ni wale tu waliochaguliwa kujiunga na Secondary ndani ya Halmashauri husika?
 
Yanabandikwa kwenye office za maafisa elimu secondary ktk halimashauri za wilaya

Kwanini hayo machaguo yabandikwe huko badala ya kuwekwa kwenye mitandao kama walivyofanya kwa yale matokeo?
Kweli nchi hii ina maajabu mengi?!!Zama hizi za digital bado tukapange folen kuangalia majina kwenye office za maafis elimu?!!!
 
Nchi kubwa lenye rasilimali za kila aina,lakini inavyofanya kazi kimagumashi.
 
jamani naombeni mkiweza kutuwekea majina yote humu mtandaoni itakua poa sana
 
Asante kwa taarifa. Je, majina yanayobandikwa huko ni ya wanafunzi wote hata waliochaguliwa kwenda nje ya Wilaya/Mkoa huo, au ni wale tu waliochaguliwa kujiunga na Secondary ndani ya Halmashauri husika?

wale tu waliochaguliwa ndani ya halmashauri husika.
 
Hahahahaha mimi baba diwani kaja na majina kabla haya jatangazwaa nakushauri na ww nenda kwa diwani wako atakuwa na majina maana anahusika katika upangaji
 
Diwani hapana. Usiongee usicho na hakika nacho danya
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…