MKURABITA
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 317
- 126
Nimesoma taarifa kwenye magazeti ya leo kuwa Naibu Waziri TAMISEMI Mh. Kassim Majaliwa ametangaza matokeo ya waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza shule za Serikali kwa mwaka 2015. Nimejaribu kutafuta majina katika websites mbalimbali sijafanikiwa kuyapata. Je, ni wapi naweza kupata majina hayo ili nijue kama mwanangu kapangiwa shule?