The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Yupo Udsm Idara ya sociology,alifanya masters bt walimbania sasa cjui kama keshaipata au lah,bado ni bonge ya kilaza!
Wabongo kama kawaida yetu
WASHKAJI HII NOMA, HII JF WASOMAJI WENGI, MNAWEZA KUMUHARIBIA MAHUSIANO YAKE, MAANA SI VYEMA KUINGILIA MAISHA YA MTU HASA YA KIMAHUSIANO (MAPENZI), JE DEMU WAKE AU MKE WAKE KAMA KAOA AKITEMBELEA HII POST. MASELA NOMAAAA!!😛layball:jamaa nasikia ni kiwembe lakini!!!!!!!!!
nasikia anawatafuna
..bongo nyingi..au maneno mengi.......yote kheri
Hongera Misanya mie pia nilikuwa na maswali mengi jamaa kapotelea wapi
Huyu jamaa nasikia alipata ajira kwa ukaribu aliokuwa nao na Marehemu Chachage ambapo waliokuwa na sifa kuliko yeye waliachwa. Naskia hii ilileta mtafaruku kidogo na utawala wa chuo siku zilizofatia. Utiaji shaka wa mienendo ya kutoa ajira katika Idara ya Sociologia na baadhi ya Idara hapo Mlimani ulipelekea kuanzisha utaratibu wa Centralized Recruitment ambapo maombi yote lazima yatumwe kwa Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Taaluma yaangaliwe alafu ndo yashuswe idara huska kwa mchako zaidi. NB sifa ambazo ni GPA 3.8 undergraduate anazo ila inasemekana alisaidiwa sana kuandika Dissertation
Pia zilikuwepo taarifa kuwa Misanya Bingi hupata shida sana katika kufundisha. Sikumoja alisikika mwanafunzi mmoja akisema "Misanya anachukua notice toka wikipedia hivyo hataka ukikosa kipindi chake huna cha kupoteza" !!!!!!!!!!!!!!

jamaa nasikia ni kiwembe lakini!!!!!!!!!
nasikia anawatafuna
Du Masela mnaua vibaya!!!Yupo Udsm Idara ya sociology,alifanya masters bt walimbania sasa cjui kama keshaipata au lah,bado ni bonge ya kilaza!
Masikini Jeuri, nakuunga mkono. Misanya yuko fit, amepata kazi hiyo kwa merits na bado kipaji chake cha kuongea kipo.Jamani tuweni wakweli huwi mwalimu pale kama huna vigezo na sifa za kuwepo pale; kazi zako mwisho wa siku kuna zaidi ya mtu mmoja huziangalia mfano hata mtihani unaotolewa pia kuna external examiners na mambo mengine mengi!
He has the merit............vinginevyo wangekuwa washampa gunia siku nyingi...............since Prof. Chachage died!:shock:
oya wan jf uyu jamaa kila cku naonana na sasahiv yupo mwaka wa pili katika phd yake na mungu akipenda by desember anakuwa full doctor wa sociology and anthropology mkitaka detail zake nacyo kupayuka nenden idara ya socology udsm mkapate taarifa na kwatarirfa yenu phd yake imekuwa gumzo c2 udsm hadi vyuo vya south africa anapokwenda kila mara kupresente topic yake.AKHASANTENI SANA:behindsofa: