Huyu jamaa nasikia alipata ajira kwa ukaribu aliokuwa nao na Marehemu Chachage ambapo waliokuwa na sifa kuliko yeye waliachwa. Naskia hii ilileta mtafaruku kidogo na utawala wa chuo siku zilizofatia. Utiaji shaka wa mienendo ya kutoa ajira katika Idara ya Sociologia na baadhi ya Idara hapo Mlimani ulipelekea kuanzisha utaratibu wa Centralized Recruitment ambapo maombi yote lazima yatumwe kwa Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Taaluma yaangaliwe alafu ndo yashuswe idara huska kwa mchako zaidi. NB sifa ambazo ni GPA 3.8 undergraduate anazo ila inasemekana alisaidiwa sana kuandika Dissertation
Pia zilikuwepo taarifa kuwa Misanya Bingi hupata shida sana katika kufundisha. Sikumoja alisikika mwanafunzi mmoja akisema "Misanya anachukua notice toka wikipedia hivyo hataka ukikosa kipindi chake huna cha kupoteza" !!!!!!!!!!!!!!
Didia,
Kua watu wana malice na maceb wetu wa bongo wakidhani wote ni vilaza, sasa wanapotokea kuwa vichwa kila sababu zitatafutwa.
Hivyo watu wa sociology wanatakiwa wawe vichwa gani zaidi ya Misanya Bingi, mbona hapo UD, watu wa sociology ndio watu wenye all the time ku buzz buzz kila kona, kinywaji kingi, starehe nyingi na bado wanapasua?.
Kama wikipedia inazo nondo za kushibisha socialogy kwa nini ushinde library kwenye mbano wa ajabu na vitabu vilivyochanwa karibu kila kurasa?. Mimi binafsi nimesoma UD darasani nimehudhuria 40 % na 60% nimekomba online kwenye hiyo hiyo wikipedia na chuo nikamaliza na GPA nzuri tuu, sasa kuna cha ajabu gani kuhusu huyu lecture kijana!?.
Kama ni ku saidiwa mbona wengi tumesaidiwa kwa nia njema, tena hapo mlimani kuna maksi za kuanzia kichwa, shape, figure mpaka maksi za Chu... sasa cha ajabu nini?.
Kuna maprofessa vichwa ni wafundishaji wabaya tuu na masomo yao darasa zima lina dunda, wakati wako ma tutorial assistats tuu, wanafundisha simple na wanafunzi wanapasua?.
Mwacheni Misanya Bingi afanye kweli kwenye Ph.D yake.