Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
Hongera sana Misanya Bingi... Songa mbele...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikimita, kama aliyehudhuria lectures asilimia 100% na kutoka ametoka na PASS na aliyehudhuria lectures 40% na katoka na 2nd, yupi kati ya atakuwa proud of himself/herself, hivi ningehudhuria kwa 100% si ningetoka na 1st?.
Wewe usiingie darasani halafu ukapasua, unayo sababu ya kusikitika, sasa sana utajijutia tuu kwa nini sikuingi darasani, kumbe ningeingia ningefanya even better!.
Kwa kujijutia hapo ndipo huzuni hufuata na kuishi kwa masoneko ninge jua, dawa ni kuridhika na ulicho kipata, wengine ni watu wa wastani tuu, nami ni mmoja wao, sio book worms, hata usome vipi, ukeshe, kama ni mtu wa wastani, ni mtu wa wastani tuu, hivyo its true I'm very proud kuwa mtu wa wastani kama nilivyokuwa proud kukaaa back bench tangu primary mpaka chuo!.
Shy, asante kwa hili, kwa kweli niite mdogo wako, au hata mtoto wako kwenye forum kwa vile wewe humu ni miongoni mwa members waanzishili, ili hali mimi ni wakuja tuu.
Ila pia ni kweli, ninatia huruma, na nahitaji sana huruma yako, hivyo nakuomba sana, unihurumie mimi, na hao unaowachukulia mabandiko yao na kubandika kule kwako huku ukujifanya umeandika wewe.
Sina problem kabisa na freedom of information kwa information kuenea zaidi kwa kuonekana forums mbalimbali, lakini kuna element ya intalectual property ya originality, hii sio favour ni right, unawajibika siku zote, unapochukua kazi ya mtu, no matter how small or insignificant it is, lazima una attribute source, kwa kuandika tuu source:jf, basi, is is asking for too much brother/baba?.
Mpeni sifa zake jamani pale anapostahili mie nimewahi kumchukua kuwa facilitator/mwezeshaji kwenye semina yangu alifanya vizuri sana.
Nakuunga mkono kwa hilo jamaa ni hatari, ila huu ni umbea tutasutwa!naskia baba mkwe ndiye aliyemlazimisha kusoma,maana baba mkwe anazo na ni profjamaa nasikia ni kiwembe lakini!!!!!!!!!
nasikia anawatafuna
Hongera sana Misanya Bingi! Siku hizi mbona sikuoni mitaa ya "Kwa Mae"? Au Phd inabana sana?
Ni Lecturer sasa, Yupo School of Arts and Social Science, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
Jamani naomba kuuliza, kuna yule jamaa aliyekua ni mtangazaji wa Redio 1 kipindi cha nyuma kwa jina Misanya Bingi hivi kaendaga wapi? kuna mtu anataarifa zake nikazipata? Asanteni.
Nakuunga mkono kwa hilo jamaa ni hatari, ila huu ni umbea tutasutwa!naskia baba mkwe ndiye aliyemlazimisha kusoma,maana baba mkwe anazo na ni prof
acha uongo! Ni polisi mstaafu siyo prof.
Huyu jamaa nasikia alipata ajira kwa ukaribu aliokuwa nao na Marehemu Chachage ambapo waliokuwa na sifa kuliko yeye waliachwa. Naskia hii ilileta mtafaruku kidogo na utawala wa chuo siku zilizofatia. Utiaji shaka wa mienendo ya kutoa ajira katika Idara ya Sociologia na baadhi ya Idara hapo Mlimani ulipelekea kuanzisha utaratibu wa Centralized Recruitment ambapo maombi yote lazima yatumwe kwa Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Taaluma yaangaliwe alafu ndo yashuswe idara huska kwa mchako zaidi. NB sifa ambazo ni GPA 3.8 undergraduate anazo ila inasemekana alisaidiwa sana kuandika Dissertation
Pia zilikuwepo taarifa kuwa Misanya Bingi hupata shida sana katika kufundisha. Sikumoja alisikika mwanafunzi mmoja akisema "Misanya anachukua notice toka wikipedia hivyo hataka ukikosa kipindi chake huna cha kupoteza" !!!!!!!!!!!!!!
Job KElimu yetu wa-TZ hiyo!!! Unatamba kwa kuingia lecture hall kwa machale! Pole sana, ndo maana hata tukipambanishwa na wakenya tunatoka kapa tunabaki kulalama tu ooh kampuni hii inaupendeleo sijui kitu gani!! Ni maarifa gani uliyo nayo ya kupambanua mambo kama siyo unalingishia cheti cha daraja la juu wakati maarifa hola?
Kwa kweli utabaki na hicho cheti lakini mara nyingi kazini utakuwa unachemsha maana huna maarifa na ujuzi unaohitajika kazini wewe ulibaki kukazania kufaulu mitihani na siyo kupata maarifa! Pole sana na endelea kutamba na hiyo shahada yako!!
Jamani naomba kuuliza, kuna yule jamaa aliyekua ni mtangazaji wa Redio 1 kipindi cha nyuma kwa jina Misanya Bingi hivi kaendaga wapi? kuna mtu anataarifa zake nikazipata? Asanteni.