Wapi mkeka wa Makatibu Wakuu wa Wizara?

Wapi mkeka wa Makatibu Wakuu wa Wizara?

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
19,582
Reaction score
14,167
Nimemsikia Katibu Mkuu Kiongozi akisema Rais pia kateua Makatibu Wakuu lakini hadi sasa sijaona Mkeka wa hao .

Mwenye nao auweke hapa.
 
Natumaini na huko yule aliyekuwa akishirikiana na mjomba wake kutuibia atakuwa ametupwa nje.
 
Back
Top Bottom