Wapi mkoani Dar es Salaam kuna Chinese restaurant nzuri?

Great Wall Masaki
Tangreen morocco
Kuna ile iko opposite na jengo la alpha victoria
Kuna ingine iko jengo baada ya viva tower inaitwa china nini sijui nimesahau.

Ila Tangreen na Great Wall ndo the best kwa misosi ya kichina.
 
Shikamoo dada
 
Mbona mi sijawahi ona konokono. Sema hata mi nilikuaga najua wanapika vitu vya ajabu ajabu
Huwezi jua humu kama kuna panya[emoji12] [emoji218] [emoji196]
images%20(4).jpeg
 
Great Wall Masaki
Tangreen morocco
Kuna ile iko opposite na jengo la alpha victoria
Kuna ingine iko jengo baada ya viva tower inaitwa china nini sijui nimesahau.

Ila Tangreen na Great Wall ndo the best kwa misosi ya kichina.

Migahawa iko mingi sana lakini huduma zao hutofautiana viwango,
Maadam wewe uliyewahi kwenda hapo umenihakikishia basi najua sintatupa pesa.
Shukrani sana mkuu.........................!
 
Back
Top Bottom