Wapi mkoani Dar es Salaam kuna Chinese restaurant nzuri?

Wapi mkoani Dar es Salaam kuna Chinese restaurant nzuri?

Opposite na voda Hq ipo.
Bara bara ya kikwetw mikocheni zipo nne.
The great wall masaki. Bonge la restaurant la kichina.

Hapo ushindwe mwenyewe
 
Mkuu nimekula vyakula vya aina hiyo NEW ARUSHA HOTEL, hapo Dar es salaam itabidi nikija twende wote tufanye utafiti. Kuna hotel inaitwa Mediterraneo naskia wako poa sana.
Itabidi nimeambiwa wana vyakula vizuri sana hao jamaa!..
 
Wasalaam,
Naomba kuuliza ni wapi kuna migahawa inayohudumia Chakula cha kichina jijini Dar es salaam. Yaani Chakula cha kichina kiwe kweli kile cha Wachina haswaa, yaani kiwe kimepikwa kwa mapishi ya kichina.

Natanguliza Shukrani zangu.

Hakuna kitu kama Chinese rastaurant nzuri Dunia hii, zote ziko sawa unahitaji kwenda moja tu, kwani chakula ni kile kile, watu wale wale hivyo kwangu mimi hakuna tofauti!
 
Barabara ya Victoria, karibu na Alba apartments kuna Chinese restaurant pale...

Moja inaitwa 'Great wall' , ipo masaki karibu na Samaki Samaki

Cc: mahondaw
 
Daah pale happy dragon chinese restaurant mkabala na round about ya kawe wameiua siku hizi ilikuaga poa sana
 
Aende tu great wall restaurant......kilaa kitu kipo ilaa burger za kichina zilinishindagaaa chaaaaaa sijui wnatiagaa nini jaman ni za ajabu sijapata onaa......!!bt vyakulaa vyao ni vizur saana esp chicken souya souce wings lazimaa ujirambeeeee,
 
Mambembe, mambo vipi ???
Mbona kule jukwaani kwetu la Gospel ulikacha ???
 
Back
Top Bottom