MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
- Thread starter
-
- #61
😀😀😀😀 RRONDO usitoe siri za kambi bwana!
Mkuu nimekula vyakula vya aina hiyo NEW ARUSHA HOTEL, hapo Dar es salaam itabidi nikija twende wote tufanye utafiti. Kuna hotel inaitwa Mediterraneo naskia wako poa sana.Malcom Lumumba hebu nielekeze na sehemu misosi ya kituruki nikajitoe ushamba!.
Basi kama wahusika wapo hapo lazima ni pazuri......Kila kitu wchina hadi wahudumu
Itabidi nimeambiwa wana vyakula vizuri sana hao jamaa!..Mkuu nimekula vyakula vya aina hiyo NEW ARUSHA HOTEL, hapo Dar es salaam itabidi nikija twende wote tufanye utafiti. Kuna hotel inaitwa Mediterraneo naskia wako poa sana.
Opposite na voda Hq ipo.
Bara bara ya kikwetw mikocheni zipo nne.
The great wall masaki. Bonge la restaurant la kichina.
Hapo ushindwe mwenyewe
Tutajithibitishia mkuu....Itabidi nimeambiwa wana vyakula vizuri sana hao jamaa!..
Wasalaam,
Naomba kuuliza ni wapi kuna migahawa inayohudumia Chakula cha kichina jijini Dar es salaam. Yaani Chakula cha kichina kiwe kweli kile cha Wachina haswaa, yaani kiwe kimepikwa kwa mapishi ya kichina.
Natanguliza Shukrani zangu.
Duh!!... haya bana.Hakuna kitu kama Chinese rastaurant nzuri Dunia hii, zote ziko sawa unahitaji kwenda moja tu, kwani chakula ni kile kile, watu wale wale hivyo kwangu mimi hakuna tofauti!
Hata mimi nlikuwa najaribu kukumbuka jina ni pazuei mnoGREAT WALL CHINESE RESTAURANT ipo masaki Oysterbay barabara ya haile selaisie
Huwa wanatengeneza vyura na vinyonga? Nime miss sana hivyo vyakula.Daah pale happy dragon chinese restaurant mkabala na round about ya kawe wameiua siku hizi ilikuaga poa sana
Huwa wanatengeneza vyura na vinyonga? Nime miss sana hivyo vyakula.
Mambembe, mambo vipi ???Aende tu great wall restaurant......kilaa kitu kipo ilaa burger za kichina zilinishindagaaa chaaaaaa sijui wnatiagaa nini jaman ni za ajabu sijapata onaa......!!bt vyakulaa vyao ni vizur saana esp chicken souya souce wings lazimaa ujirambeeeee,
Sijakachaaa boss wangu...nilikuwa nakulaa ban mfululizo mpkaa nikapoteaaa naombaa unipeleke huko plse boss wanguMambembe, mambo vipi ???
Mbona kule jukwaani kwetu la Gospel ulikacha ???
Hivi vyakula vyao hua vinaladha kweli?Hivi ile chinese restaurant ya ya pale kitega uchumi bado ipooo woiiii nilishawahi ingia na kula chakula cha kichina