Wapi nakosea kwenye mapishi ya keki?

Mimi kuna siku niliangalia kipindi cha cake boss akawa anaelekeza kupika simple cake nyumbani nikajaribu...sina uhakika kama nilipika keki au ugali maana ni kichekesho
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kama mwenyewe unajicheka basi ilikuwa ni ugali
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kama mwenyewe unajicheka basi ilikuwa ni ugali
Kama mwenyewe nilishindwa kuila sijui hata nilikosea wapi...tokea siku hiyo sitaki tena kupoteza muda tena kuhangahika na mapishi ya keki...maana nilinunua mpk flavour
 
Kama mwenyewe nilishindwa kuila sijui hata nilikosea wapi...tokea siku hiyo sitaki tena kupoteza muda tena kuhangahika na mapishi ya keki...maana nilinunua mpk flavour
Ulitakiwa urudie mara ya pili na ugegundua wapi umekosea. Umekata tamaa mapema
 
Ulitakiwa urudie mara ya pili na ugegundua wapi umekosea. Umekata tamaa mapema
Itabidi w/end hii nijaribu tena...tatizo ukiangalia youtube unaona rahisi anza kufanya ww ndio unaona kweli kazi kubwa na siku nikiweza nadhani nitapika keki kubwa nile wiki nzima.

Mimi nikienda kwny sherehe huwa lazima nibebe keki tu na watu wameshanijua wakiona keki ya wazazi haipo wanaelewa nani kapotea nayo
 
Ha haaa mwizi wa cake kwenye harusi
 
Hakuna kitu rahisi km kubake cake jamani...tungekuwa karibu ningewaita mje nyumban kwangu tupike! Nahisi tuko mikoa tofautiii
 
Hakuna kitu rahisi km kubake cake jamani...tungekuwa karibu ningewaita mje nyumban kwangu tupike! Nahisi tuko mikoa tofautiii
Cake rahisi sana aisee, mie nilijifunza kwa kusoma maelekezo tu then nikajaribu na kuweza.
 
Hakikishs hukosei kipimo hata kidogo
Mfano
Blue band robo tena tumia ile ya kupima mana ya kopo inakua imeganda sana mafuta au tumia samli tu ile ambayo haina chumvi

Sukari robo
Unga the robo
Mayai sita
Saga blueband na sukar si chini ya dakika 60 km una mda weka mayai saga kwa mixer hadi uone inavimba km dakika 15 tu inatosha weka vinjonjo vyako km custard hiliki za kusaga arki vanilla or strawberry zabibu kavu changanya baking powder usisahau weka unga wako changanya na mwiko uctumie machine angalia usiwe mwepec Sana uinue mwa mwiko ukiona tayr weka kwenye tray choma moto wa kiac kumbuka iczdishe kipimo chochote wala kupunguza

Blue band nusu
Sukar nusu
Mayai 12
Unga nusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…