Wapi nakosea kwenye mapishi ya keki?

Wapi nakosea kwenye mapishi ya keki?

inaonekana ni tamu balaa..asante! moto hua unaeka wa kiasi gani..hiyo facebook sikumbuki hata password long time siko huko.instagram au youtube hamna hiyo kitu?
Mimi nlianzia kusoma FB then you tube nlienda ongezea maujuzi...na moto washa kabla ya kuanza kuchanganya...moto weka 180 au 355
 
Nipooo very active sema siku hzi nimekua msomaji tu.. Nacomment mara chache chache ia nipogoo
Anhaaa! Hamna shda

Nilimiss comments zako zilikuwa zina akili. Nikawa najua uliondoka
 
Hakikishs hukosei kipimo hata kidogo
Mfano
Blue band robo tena tumia ile ya kupima mana ya kopo inakua imeganda sana mafuta au tumia samli tu ile ambayo haina chumvi

Sukari robo
Unga the robo
Mayai sita
Saga blueband na sukar si chini ya dakika 60 km una mda weka mayai saga kwa mixer hadi uone inavimba km dakika 15 tu inatosha weka vinjonjo vyako km custard hiliki za kusaga arki vanilla or strawberry zabibu kavu changanya baking powder usisahau weka unga wako changanya na mwiko uctumie machine angalia usiwe mwepec Sana uinue mwa mwiko ukiona tayr weka kwenye tray choma moto wa kiac kumbuka iczdishe kipimo chochote wala kupunguza

Blue band nusu
Sukar nusu
Mayai 12
Unga nusu
Asante najitahidi kupima kwa macho sina mizani..nafanya kila kitu kama video zinavoonyesha..nikapatia siku ya kwanza na ya pili kiasi baada ya hapo ndo balaa likaanza..na wasiwasi na oveni pia manake hata haionyeshi ni joto kiasi gani..ni jiko la gesi lenye oven chini
 
Asante najitahidi kupima kwa macho sina mizani..nafanya kila kitu kama video zinavoonyesha..nikapatia siku ya kwanza na ya pili kiasi baada ya hapo ndo balaa likaanza..na wasiwasi na oveni pia manake hata haionyeshi ni joto kiasi gani..ni jiko la gesi lenye oven chini
Kupima kwa macho ndo unakosea pimia mezani cake ukikosea step moja tu haiivi mfno kikopo cha blue babd cha nusu km unataka kupma ungs nusu bac vinakua viwil hadi pale kwenye mstar kwasabu unga ni mwepec Blue band nzito huez kupima kimoja na mayai km unapka vipimo vya mayai sita bac weka sita tu ukipima vipimo sawa haisumbui na moto pia bora weka mdogo km huez kukisia then unazidisha kidogo dogo huku unaiangalia me kawaida nachomea oven la gas naweka namba 5 hadi inaiva mda wa kuchoma weka ukichanganya washa oven moto mdogo mdogo ukimlza kuchanganya na kuichoma oven lishapata moto yani usiwashe oven na kuingiza cake
 
Ingia facebook kuna group linaitwa "mapishi rahisi na fasta fasta" angalia kuna kila aina ya mapishi ya cake..me nimejifunza humo na nimeweza..cake lazma iende na VIPIMO

hio ni cake yangu ya pili kuipika.

View attachment 750661
Dah..... inaonekana tamu sana. Hongera
 
Jameni,siku hizi nimekua nachukua video za you tube najipikilisha keki kwa ajili ya watoto na ili
dada wangu wa nyumbani nae ajifunze kupika keki.(inaeza kuja kimsaidia mbeleni).ila wote wanafunzi.mimi na yeye kupitia video hizo.
mimi sio mzoefu sana nimepika mara moja moja na siku za mwanzo kwa kweli ilikua inatoka vizuri kiasi ila inakua na vikasoro kidogo tu..
mfano mafuta kama yanakua yanazidi(sijajua hapo ni blueband au vip),inachambuka kiasi sio saaana,,na sijui shida nini lakini inakua ndani sio nyeupe,,inakua kama na brown kwa mbali..
Sasa siku mbili hizi napika keki naona haivi katikati,,nishajitahidi kurudia tena kama mara mbili sijajua shida nini au nakosea wapi..
wenye ideas tofauti tofauti ebu mniambie nakosea wapi,nishawaza ni oven au uzito wa keki au nini.
Acha ubahili mpeleke VETA.
 
Back
Top Bottom